Napatwa na hizi hisia kila mara...nifanye nini mimi?

Habari wana Jamvi,

Mimi nina tatizo na sijui hata nielezaje lakini for the past few days mambo yamekuwa magumu sana,Nimekuwa nikiandamwa na hisia za KIFO kama vile muda wowote naenda kufa. yaani hata sielewi hiihali imekuwa ikinikosesha amani sana.

Hali hii ilianza miezi kadhaa iiliyopita lakini jinsi siku zinavyokwendandio hali inazidi kuongezeka saaana. Nimekuwa mwingi wa hofu kutokana na haya mawazo yanayonijia kilamara sasa nashindwa kuelewa nini ni shida mbona sijawahi kupata na hii hali na sasa inatokana na nini.

Nashinda nyumbani muda mwingi saa nyingine hadi mama angu ananiuliza nina tatizo gani simwambiimaana ye ukimwambia una tatizo basi tena.

Namwambia niko okay ila kiukweli siko okay kabisaa. .najitahidi kuji keep busy, nawatch movie, nakuwa Jf, nikaamua nianze kusoma tena ili niwe busy muda mwingi lakini hadi najuta kwa nini nime opt kusoma maana…..,na hali hii inazidi kunitesa.

Nimejikutakila nikikaa mi mawazo yangu ni naenda kufa tu..

The only thing inakuja eti am going to die soon enheeMungu ni nini hiki au ndio ukweli siku zangu zimekaribia.

Naweza kuwa nimekaa na marafiki mahali najitahidi kujifanya am okay lakin muda mwingine hayo mawazoyanakuja muda mwingine hadi wananishtua najifanya kama nasikiliza kumbe waala mimi sikuwa huko kabisaa.Sasa nikiumwa kidogo tu ndio naona tayari.

kama siku ya jana nilivyokuwa najisikia ilikuwa terrible nikawanatamani hadi nianzishe thread usiku ule ule,maana hadi nikawa nahisi asubuhi ya leo siwezi kuiona.

Najua kila mtu atakufa lakin ila nifanyaje jaman hii hali ya kila muda kuwaza hivi inanikosesha amani kabisa.Inanipa majonzi sana. I don't know kama mnanielewa, I WISH MNIELEWE WITH WHAT AM GOING THROUGHRIGHT NOW ILA NAPATA TABU SANA.NB. This is very serious sio kama utani mwingine ninaoanzishaga siku nyingine.

Nahitaji ushauri wenu
Umeolewa au una bwana au boy friend au mpenzi?,je vipi unafanya tendo la ndoa bila kukaa muda mrefu bila kufanya?,ukinijibu hayo baasi,dawa yako imepatikana,tena haraka utarudia hali ya furaha tupu.
 
charger hope that's just a joke,nafikiri ulisoma pale mwishoni jinsi Heaven on Earth mwenyewe alivyosema this is not a joke jamani its something seriously and frightening to her please!!!!!!!!!!!!!!!
Gwajima yupo kwa ajili ya UFUFUO NA UZIMA,kwa nini uogope,nenda kamuone mamii.
 
nenda hospital kapime sukari... inaelekea kabisa una low blood sugar! anza hapo kwanza! ni kitu gani kime trigger hiyo hali?
 
Ninachokijua mimi ni kuwa mwanamke ni kiumbe ambacho huweza kuiona kesho yake, ni kiumbe ambacho huweza kuona jambo lililoko mbeleni na ni kiumbe mwenye uwezo wa kuona jambo lijalo ambalo ni ngumu kwa mtu mwingine kuona!..........i don't wanna say goodbye ila pole sana!
 
Habari wana Jamvi,

Mimi nina tatizo na sijui hata nielezaje lakini for the past few days mambo yamekuwa magumu sana,Nimekuwa nikiandamwa na hisia za KIFO kama vile muda wowote naenda kufa. yaani hata sielewi hiihali imekuwa ikinikosesha amani sana.

Hali hii ilianza miezi kadhaa iiliyopita lakini jinsi siku zinavyokwendandio hali inazidi kuongezeka saaana. Nimekuwa mwingi wa hofu kutokana na haya mawazo yanayonijia kilamara sasa nashindwa kuelewa nini ni shida mbona sijawahi kupata na hii hali na sasa inatokana na nini.

Nashinda nyumbani muda mwingi saa nyingine hadi mama angu ananiuliza nina tatizo gani simwambiimaana ye ukimwambia una tatizo basi tena.

Namwambia niko okay ila kiukweli siko okay kabisaa. .najitahidi kuji keep busy, nawatch movie, nakuwa Jf, nikaamua nianze kusoma tena ili niwe busy muda mwingi lakini hadi najuta kwa nini nime opt kusoma maana…..,na hali hii inazidi kunitesa.

Nimejikutakila nikikaa mi mawazo yangu ni naenda kufa tu..

The only thing inakuja eti am going to die soon enheeMungu ni nini hiki au ndio ukweli siku zangu zimekaribia.

Naweza kuwa nimekaa na marafiki mahali najitahidi kujifanya am okay lakin muda mwingine hayo mawazoyanakuja muda mwingine hadi wananishtua najifanya kama nasikiliza kumbe waala mimi sikuwa huko kabisaa.Sasa nikiumwa kidogo tu ndio naona tayari.

kama siku ya jana nilivyokuwa najisikia ilikuwa terrible nikawanatamani hadi nianzishe thread usiku ule ule,maana hadi nikawa nahisi asubuhi ya leo siwezi kuiona.

Najua kila mtu atakufa lakin ila nifanyaje jaman hii hali ya kila muda kuwaza hivi inanikosesha amani kabisa.Inanipa majonzi sana. I don't know kama mnanielewa, I WISH MNIELEWE WITH WHAT AM GOING THROUGHRIGHT NOW ILA NAPATA TABU SANA.NB. This is very serious sio kama utani mwingine ninaoanzishaga siku nyingine.

Nahitaji ushauri wenu
Wewe ni wema sepetu?
 
Pole sana my dear lakin nafikiri ni mambo ambayo hutokea kwa mwanadam sometimes nakumbuka hata mimi ilishanikumbaga iyo hali ilinitesa sana nenda kaombewe itaisha
 
Blue G asante....,sa hivi hadi kulala mwenyewe naogopa tena.

sijawahi kumwelezea mtu hii shida ila leo ndio nimesema humu

maana nimeona hali inazidi kuwa mbaya

asante ninafatilia kwa ukaribu ushauri wa watu wote
yaan for me I don't want to wait no more. In the name of Jesus, I bind all the plans of the devil and no one/no power can overcome you.

may the blood of Jesus sorrounds you always. I command the devil and his agents to flew away from you.

Say Ameen and believe it.
 
Habari wana Jamvi,

Mimi nina tatizo na sijui hata nielezaje lakini for the past few days mambo yamekuwa magumu sana,Nimekuwa nikiandamwa na hisia za KIFO kama vile muda wowote naenda kufa. yaani hata sielewi hiihali imekuwa ikinikosesha amani sana.

Hali hii ilianza miezi kadhaa iiliyopita lakini jinsi siku zinavyokwendandio hali inazidi kuongezeka saaana. Nimekuwa mwingi wa hofu kutokana na haya mawazo yanayonijia kilamara sasa nashindwa kuelewa nini ni shida mbona sijawahi kupata na hii hali na sasa inatokana na nini.

Nashinda nyumbani muda mwingi saa nyingine hadi mama angu ananiuliza nina tatizo gani simwambiimaana ye ukimwambia una tatizo basi tena.

Namwambia niko okay ila kiukweli siko okay kabisaa. .najitahidi kuji keep busy, nawatch movie, nakuwa Jf, nikaamua nianze kusoma tena ili niwe busy muda mwingi lakini hadi najuta kwa nini nime opt kusoma maana…..,na hali hii inazidi kunitesa.

Nimejikutakila nikikaa mi mawazo yangu ni naenda kufa tu..

The only thing inakuja eti am going to die soon enheeMungu ni nini hiki au ndio ukweli siku zangu zimekaribia.

Naweza kuwa nimekaa na marafiki mahali najitahidi kujifanya am okay lakin muda mwingine hayo mawazoyanakuja muda mwingine hadi wananishtua najifanya kama nasikiliza kumbe waala mimi sikuwa huko kabisaa.Sasa nikiumwa kidogo tu ndio naona tayari.

kama siku ya jana nilivyokuwa najisikia ilikuwa terrible nikawanatamani hadi nianzishe thread usiku ule ule,maana hadi nikawa nahisi asubuhi ya leo siwezi kuiona.

Najua kila mtu atakufa lakin ila nifanyaje jaman hii hali ya kila muda kuwaza hivi inanikosesha amani kabisa.Inanipa majonzi sana. I don't know kama mnanielewa, I WISH MNIELEWE WITH WHAT AM GOING THROUGHRIGHT NOW ILA NAPATA TABU SANA.NB. This is very serious sio kama utani mwingine ninaoanzishaga siku nyingine.

Nahitaji ushauri wenu

Pole sana ni hisia tu hizo muombe Mungu atakusaidia.....kama hiyo hali inaendelea ungama dhambi zako na umuombe Mungu kama akikuchukua basi akupe kifo chema.
 
shalom mpendwa ni muhimu ufanye maombi ya delivarance kwani ni roho ya mauti inakuandama paispo kujijua wewe hivyo ni vyema umshirikishe kiongozi wa ko wa dini jambo hili na vilevile hata umshirikishe mama yako uenda naye atakusaidia katika maombi kwani ni roho hiyo inaingia taratibu na unaoneshwa ili uanze kufunga na kuomba pia acha ubishi kushindana nayo chukua hatua zaidi uanze maombi kwani italeta shida na itakuwa inakusumbua kwenye mawazo yako rafiki
Lady niece, you had a good advice only that, I have one point to add to your advice.
People or rather, children of God should stand with their own feet. When Jesus died, it was open for everyone to go straight to Him and ask of anything and it shall be given.

for her, she does not need to go to the church elders rather stand firm in Jesus and receive.

i pray God will hear her prayer and heal her wounds.

ameen.
 
Pole sana ,unahitaji kuomba mungu akulinde na matatizo yanayokukabili,jaribu kujichanganya sana na watu pia usikae mwenyewe muda mrefu .Kama ni mkristo nenda kwa mchungaji au padri wako umueleze akuombee au kama ni muislamu vivyo hivyo na hii itakusaidia kuondoa hofu kubwa uliyonayo.
 
Habari wana Jamvi,

Mimi nina tatizo na sijui hata nielezaje lakini for the past few days mambo yamekuwa magumu sana,Nimekuwa nikiandamwa na hisia za KIFO kama vile muda wowote naenda kufa. yaani hata sielewi hiihali imekuwa ikinikosesha amani sana.

Hali hii ilianza miezi kadhaa iiliyopita lakini jinsi siku zinavyokwendandio hali inazidi kuongezeka saaana. Nimekuwa mwingi wa hofu kutokana na haya mawazo yanayonijia kilamara sasa nashindwa kuelewa nini ni shida mbona sijawahi kupata na hii hali na sasa inatokana na nini.

Nashinda nyumbani muda mwingi saa nyingine hadi mama angu ananiuliza nina tatizo gani simwambiimaana ye ukimwambia una tatizo basi tena.

Namwambia niko okay ila kiukweli siko okay kabisaa. .najitahidi kuji keep busy, nawatch movie, nakuwa Jf, nikaamua nianze kusoma tena ili niwe busy muda mwingi lakini hadi najuta kwa nini nime opt kusoma maana…..,na hali hii inazidi kunitesa.

Nimejikutakila nikikaa mi mawazo yangu ni naenda kufa tu..

The only thing inakuja eti am going to die soon enheeMungu ni nini hiki au ndio ukweli siku zangu zimekaribia.

Naweza kuwa nimekaa na marafiki mahali najitahidi kujifanya am okay lakin muda mwingine hayo mawazoyanakuja muda mwingine hadi wananishtua najifanya kama nasikiliza kumbe waala mimi sikuwa huko kabisaa.Sasa nikiumwa kidogo tu ndio naona tayari.

kama siku ya jana nilivyokuwa najisikia ilikuwa terrible nikawanatamani hadi nianzishe thread usiku ule ule,maana hadi nikawa nahisi asubuhi ya leo siwezi kuiona.

Najua kila mtu atakufa lakin ila nifanyaje jaman hii hali ya kila muda kuwaza hivi inanikosesha amani kabisa.Inanipa majonzi sana. I don't know kama mnanielewa, I WISH MNIELEWE WITH WHAT AM GOING THROUGHRIGHT NOW ILA NAPATA TABU SANA.NB. This is very serious sio kama utani mwingine ninaoanzishaga siku nyingine.

Nahitaji ushauri wenu
Pole sana, tatizo la msingi ni lipi? Hilo uliloliandika ni matokeo ya tatizo la msingi lililokutokea.
Njia ya kwanza kubwa ni kujitambua, na ili ujitambue ni lazima ujue ni kwa nini hali yiho hukutokea? Kuna sababu nyingi sana zinachochangia hali hiyo, inaweza kuwa kuvunjika/kuharibika mahusiano ya kimapenzi, mahusiano ya kijamii, tatizo la kazi na ajira, matatizo ya kifedha, ukata, madeni, kuharibika mipango yako ya maisha, kushindwa kutimiza malengo yako, kushindwa kutimia malengo yako, maradhi ya muda mrefu na hasa yale yasiyo natiba, ugomvi kataika familia, nk. Yote haya yanatakiwa yatafakariwe ili kujua nini hasa tatizo na nini itakuwa suluhisho.
Heaven on Earth, Ni Pm kwa ushauri.
 
Habari wana Jamvi,

Mimi nina tatizo na sijui hata nielezaje lakini for the past few days mambo yamekuwa magumu sana,Nimekuwa nikiandamwa na hisia za KIFO kama vile muda wowote naenda kufa. yaani hata sielewi hiihali imekuwa ikinikosesha amani sana.

Hali hii ilianza miezi kadhaa iiliyopita lakini jinsi siku zinavyokwendandio hali inazidi kuongezeka saaana. Nimekuwa mwingi wa hofu kutokana na haya mawazo yanayonijia kilamara sasa nashindwa kuelewa nini ni shida mbona sijawahi kupata na hii hali na sasa inatokana na nini.

Nashinda nyumbani muda mwingi saa nyingine hadi mama angu ananiuliza nina tatizo gani simwambiimaana ye ukimwambia una tatizo basi tena.

Namwambia niko okay ila kiukweli siko okay kabisaa. .najitahidi kuji keep busy, nawatch movie, nakuwa Jf, nikaamua nianze kusoma tena ili niwe busy muda mwingi lakini hadi najuta kwa nini nime opt kusoma maana…..,na hali hii inazidi kunitesa.

Nimejikutakila nikikaa mi mawazo yangu ni naenda kufa tu..

The only thing inakuja eti am going to die soon enheeMungu ni nini hiki au ndio ukweli siku zangu zimekaribia.

Naweza kuwa nimekaa na marafiki mahali najitahidi kujifanya am okay lakin muda mwingine hayo mawazoyanakuja muda mwingine hadi wananishtua najifanya kama nasikiliza kumbe waala mimi sikuwa huko kabisaa.Sasa nikiumwa kidogo tu ndio naona tayari.

kama siku ya jana nilivyokuwa najisikia ilikuwa terrible nikawanatamani hadi nianzishe thread usiku ule ule,maana hadi nikawa nahisi asubuhi ya leo siwezi kuiona.

Najua kila mtu atakufa lakin ila nifanyaje jaman hii hali ya kila muda kuwaza hivi inanikosesha amani kabisa.Inanipa majonzi sana. I don't know kama mnanielewa, I WISH MNIELEWE WITH WHAT AM GOING THROUGHRIGHT NOW ILA NAPATA TABU SANA.NB. This is very serious sio kama utani mwingine ninaoanzishaga siku nyingine.

Nahitaji ushauri wenu

Tafuta kanisa zuri la kiroho ututafute msaada, Epuka mitume na manabii ndo utapoteza zaidi, kanisa dogo au kubwa Ila lisiwe la mambo mengi
 
Back
Top Bottom