Habari wanajamvi,
Maisha yamenitinga vibaya sana. Naulizia mashine za kugandishia lambalamba ambazo zimetengenezwa locally. Chini inakuwa na AC, alafu juu tumbo la fridge.
Je, zinapatikana wapi na bei yake ni shilingi ngapi?
Ni maombi yangu kwa Mungu watu wataguswa na kunipa majibu.