Napataje vioo vya kuzuia risasi?

Napataje vioo vya kuzuia risasi?

Mzunde

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
141
Reaction score
104
Wakuu habarini humu ndani,

Tafadhali sana naomba mwenye uelewa wa namna ya kuvipata vioo vinavyozuia risasi, wapi vinapatikana na hatua za kuvipata.

Msaada jamani
 
wa kukukinga na waovu ni mungu tu, umenikumbusha movie inaitwa columbiana, jamaa anajifanya anaongea shit akijidai alipo yuko safe vioo haviptsh risasi ile anamaliza kuongea tu pipe ilitua pemben ya bega alihaha hatar hope alikojoa, kwa mbaali ghorofan unamuona catalya
 
2014-09-24-13.25.15.jpg
 
Back
Top Bottom