Mtaani naona kuna pikipiki nyingi zenye nembo ya ccm na picha ya generali mkuu
Basi kama Jobless nikawiwa kuomba msaada namna ya kupata hicho kitendea kazi ili nami nijipatie kipato
NATANGULIZA SHUKRANI.
.
ccmu wanatoa wap pesa zote hizo kipind hiki cha kampen , hili lilikuwa la kuchunguzwa na bunge ila nchi ipo kweny Anguko la kiutawala wahuni ndo wameshika kila idara