Kine Master
Senior Member
- Aug 4, 2022
- 153
- 71
nimesahau terehe ya kuzaliwa but mwezi na mwaka nimekariri msaada please..Barikiwa kijana wangu
nimesahau terehe ya kuzaliwa but mwezi na mwaka nimekariri msaada please..Barikiwa kijana wangu
Hamna kitu, nimejaza taarifa zangu zote.Wananijibu niende Ofisi za NIDA kuhakiki taarifa zangu.Oooh ahsante sana asee
Ndio maana hapo juu nimesema wasiliana na ofisi ya NIDA wilaya ulipoHamna kitu, nimejaza taarifa zangu zote.Wananijibu niende Ofisi za NIDA kuhakiki taarifa zangu.
Huu ni utani wa ngumi labda unamtafutia mtu, huwezi kusahau tarehe ya kuzaliwanimesahau terehe ya kuzaliwa but mwezi na mwaka nimekariri msaada please..
Ni ukweli mtupu mkuu na nimehangaika sana sema mawazo imekua ndivyo sivyo...Huu ni utani wa ngumi labda unamtafutia mtu, huwezi kusahau tarehe ya kuzaliwa