Napataje namba ya NIDA?

Napataje namba ya NIDA?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
326
Reaction score
627
Naomba kujua jinsi ya kupata namba ya NIDA siku hizi nafanyaje. Zamani ilikuwa kuna menu naingia sasa utaratibu siku hizi umekaaje?
 
Msaidieni jamani sio kumsema hamuwezi jua kwanini mpaka sasa hajakariri au nakili namba zake za NIDA.

Mishe nyingi za kitaa huwa hazihitaji NIDA hivyo sishangai jamaa kutokukariri namba zake.
 
Mambo yamechachamaa...

Watu wanaanza kuitwa kimya kimya..wengine ndo application kimewaka.

Mji mzito huu!
 
Naomba kujua jinsi ya kupata namba ya NIDA siku hizi nafanyaje. Zamani ilikuwa kuna menu naingia sasa utaratibu siku hizi umekaaje?
Mimi yangu nimeisevu kwenye simu yangu. Nimeikariri pia.

Ongea na hao vijana wanaosajili lain wanaweza wakakusaidia.

Mfumo wake uko hivi... Mwaka wa kuzaliwa,mwezi,tarehe, then namba kama 3...180000425
 
Back
Top Bottom