Napataje data zangu kwenye 'Hard Disk' isiyosoma?

Napataje data zangu kwenye 'Hard Disk' isiyosoma?

Mnyalu Junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
573
Reaction score
200
Habari wana JF.

Nilikuwa na SATA Hard Disk yangu aina ya SEAGATE yenye ukubwa wa 250GB. Hard Disk hii mwanzo nilikuwa naitumia ndan (As Internal Hard Disk). Baadaye nikanunua Hard Disk case nikawa naitumia as External Hard Disk.

Ilitokea tatizo fulani ikawa imeungua ile terminal ya kijani (ile inayopokea power na kutoa data) ikasababisha hata plates zikawa hazizunguki na hvo kutosoma kabisa. Nilimpelekea fundi flani akawa kaitengeneza ikawa km inazunguka BUT still HAISOMI chochote!

Je, nitaokoaje na kuweza kupata data zangu zilizomo ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna njia inaitwa magnet replacement ni very complicated ...inahitaji uwe na hard disk nyingine nzima ufungue utoe plate zile za chuma uhamishie kwenye nzima !!

Inahitaji utalamu sana baada ya hapo utaweza kukocopy dator au kuendelea kuitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia ninatatizo katika desktop yangu mwanzo ilikua inawaka vizuri, Ila ilianza kuleta shita kunamuda inawaka inazima baadae ikawa haiwaki kabisa inaniambia nibadili HDD Kisha niwashe tena.

Juzi nikalazimisha HDD ikakubali nimetumia Kama wiki saiv ndo haiwaki kabisa naombeni ushauri inawezekana kuirekebisha ama ndo imeshakufa na Kama haifai nitawezaje kupata data zangu zilizomo Katika hii HDD?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom