Napata wapi vitabu vya miti shamba

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,703
Ushauri


Miaka ya nyuma nilikua naona vitabu vikiuzwa vikielekeza tiba za kiasili !! Ckua na kazi navyo kwan nilikua chaliii!!

Lakin tangu ulimwengu wa smartphone bas cvion wala kuvisikia

Je vipo bado ? Wap au kuna vya online
Msaada plz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom