Napata wapi kuchi Mwanza?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Natafuta kuku aina ya Kuchi kwa Mwanza au mikoa ya karibu kama Simiyu au Geita na Shinyanga

IMG_2927.jpg

IMG_2926.jpg


Mikoa maarufu ; Niliwaona mara ya mwisho Tabora. Lakini tafiti zinaonesha hii mikoa wanapatkana
Singida,Tabora, Shinyanga, na Dodoma

Sifa ni kuku wakubwa sana!!!.Warefu na wenye nyama nyingi. Jogoo anaweza fika had kilo 3.5kg na tetea kilo 2kg

Kama una vifaranga au kuku wa aina hii andika namba yako tukufikie.
 
Natafuta kuku aina ya Kuchi kwa mwanza au mikoa ya karibu kama simiyu au geita na shinyanga
View attachment 2269899
View attachment 2269900


Mikoa maarufu ; Niliwaona mara ya mwisho tabora
Lakini tafiti zinaonesha hii mikoa wanapatkana
singida,Tabora,shinyanga, na dodoma

sifa ni kuku wakubwa sana!!!.Warefu na wenye nyama nyingi
Jogoo anaweza fika had kilo 3.5kg na tetea kilo 2kg

Kama una vifaranga au kuku wa aina hii andika namba yako tukufikie
Kuchi nenda deluxe...
 
Back
Top Bottom