Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,884
- 7,920
Wakuu natafuta karabai 3 moja niitundike kibaraza cha mbele, moja kibaraza cha uani, nyingine ikae sitting room. Huu umeme wa TANESCO naona kabisa hauna connection na mizimu.
Ila jmn hii noma snWakuu natafuta karabai 3 moja niitundike kibaraza cha mbele, moja kibaraza cha uani, nyingine ikae sitting room. Huu umeme wa TANESCO naona kabisa hauna connection na mizimu.View attachment 3416919
Nje ya mada, nani anakuumiza mamaa?Ila jmn hii noma sn
Naam.Aiseeeeeee
Ahahaha mkuu umekosea ku quote..Nje ya mada, nani anakuumiza mamaa?
ohoo, pole nilimlenga @Tayana-wogAhahaha mkuu umekosea ku quote..
Mi wa kiume broo..
Mi faza kama wewe mkuu
Ume combine pale kakaohoo, pole nilimlenga @Tayana-wog
Sio mimi ni CCM mkuu.We jamaa unaita wenzako mama unazingua jamaa
Mkuu ni wewe bana umeona pale umeniita mi mama wakati nimepost bagiaSio mimi ni CCM mkuu.
😳🙄Kuniumiza Tena😂Nje ya mada, nani anakuumiza mamaa?