Napata wapenzi wakubwa kiumri

Napata wapenzi wakubwa kiumri

spidernyoka

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
8,029
Reaction score
21,532
Wakuu Mimi na tatizo moja ambalo linanikuta katika mahusiano.

Mara nyingi kama sio mara zote nimekuwa najikuta nimeangukia katika mapenzi na watu walionizidi umri. Sio masugar mama hapana ila difference inakuwepo 2 to 4 years na pia nkitafta rika langu inakuwa shida. Nifanyeje?

PS: Nina umri wa miaka 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kinyume chake mkuu hadi huwa najichukia. Mm nina 40+ ila vitoto vya 18 -25 ndo navipata, kila nikijitahidi kutafuta wakubwa wenzangu sipati. Sasa size hii bado mapepe vinapigwa kama mpira wa kona

Sent using Jamii Forums mobile app
tubadlishane tu juz nlkutana na mmoja nkamwambia 26 kumbe yeye 27 ngemwambia 24 cjui ingekuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshaambiwa, Umri waachie NIDA we umri unaenda nao wapi?? Kwanza, ukioa mwanamke unamzidi sana umri utaja zeeka kabla yake
 
tatzo huna hela mkuu, hao waliokuzid umri wanakuonea huruma, ndo mana inakua virahisi san kuwapata.. na unakuta ww mwenyew una vocal(verse) za kizee teh teh kwahyo utapata wazee
 
Back
Top Bottom