Napata tabu mwenzenu jaman anaeyejua suluhu ya tatizo hili anisaidie wana JF

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,589
Points
1,225

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,589 1,225
Ninakama miezi miwili nnatatizo la kuwashwa mbele na nyuma nawashwa sana nikajua ni fungus nimetibu sana lakin sikupona nikafanya vipimo vya cultural sensitivity dokta akanambia maji maji ambayo yanakua uken yamepungua hivyo wale bacteria rafik wameanza kunishambulia nimetumia dawa zimeisha nimekaa kama wik moja tatizo limeanza tena plz nisaidieni wana jf
 
Kiraka

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Messages
2,654
Points
2,000

Kiraka

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2010
2,654 2,000
Ninakama miezi miwili nnatatizo la kuwashwa mbele na nyuma nawashwa sana nikajua ni fungus nimetibu sana lakin sikupona nikafanya vipimo vya cultural sensitivity dokta akanambia maji maji ambayo yanakua uken yamepungua hivyo wale bacteria rafik wameanza kunishambulia nimetumia dawa zimeisha nimekaa kama wik moja tatizo limeanza tena plz nisaidieni wana jf
Jaribu kubadirisha source ya maji unayo oga, au yachemshe sana. Manake kama unatumia dawa unapona then inaanza upya baada ya muda, maana yake kuna kitu kina kuambukiza. Pia partner wako kama yupo nae ni vizuri atibu kama ana fungus au tatizo lolote.

Pole sana!
 
Mr.Toyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2007
Messages
433
Points
0

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2007
433 0
Ninakama miezi miwili nnatatizo la kuwashwa mbele na nyuma nawashwa sana nikajua ni fungus nimetibu sana lakin sikupona nikafanya vipimo vya cultural sensitivity dokta akanambia maji maji ambayo yanakua uken yamepungua hivyo wale bacteria rafik wameanza kunishambulia nimetumia dawa zimeisha nimekaa kama wik moja tatizo limeanza tena plz nisaidieni wana jf
Nahisi utakuwa unasumbuliwa na infections.

Ushauri wangu:
Bora uende kwa mtaalamu wa magonjwa ya akina mama umueleze kwa kina then umjulishe aina za dawa ulizowahi kutumia (the point is to be transparent) then naamini kabisa ata-suggest dawa ambazo zitamaliza kabisa tatizo lako.

Mungu atakusaidia.
 
TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,589
Points
1,225

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,589 1,225
<br />
<br />
Jaribu kubadirisha source ya maji unayo oga, au yachemshe sana.Manake kama unatumia dawa unapona then inaanza upya baada ya muda, maana yake kuna kitu kina kuambukiza.Pia partner wako kama yupo nae ni vizuri atibu kama ana fungus au tatizo lolote.Pole sana!
nimemwambia nae ametumia lakin cjakutana nae kimwili tangu nimaanza kutumia dawa
 
Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
35,108
Points
2,000

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
35,108 2,000
Badilisha aina ya toilet paper unayotumia, punguza kujisugua/kujisafisha kwa nguvu, tumia maji safi na salama, punguza matumizi ya vipodozi, fyeka mazingira kwa wembe safi....pole ila pia na ushauri wa Buji buji ni muhimu
 
TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,589
Points
1,225

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,589 1,225
Elli unajua nnajitahidi sana kuzingatia kanuni za usafi muda wote gemmy wangu hana msitu na natumia tissue nikiwa nyumbani ni kujisafisha na maji na kuputa na taulo safi nguo zangu za ndani ni kila baada ya miezi 4 na badilisha mambo tu yameniangukia ila ntazingatia ushauri wenu thanx for your concern
 
Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
6,968
Points
2,000

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
6,968 2,000
Pole sana...

Nadhani pia unastahili kuwaona madaktari wataalamu wa magonjwa yanayohusiana na "allergy". Inawezekana una "reaction" na baadhi ya "under wears" or any "garments"...
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,022
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,022 2,000
Yupo daktari wetu hapa jamvini Dr Riwa huwa anatoa ushauri mzuri sana ambao nadhani utaweza kukusaidia. Akiuona ujumbe wako ni lazima atakushauri nini cha kufanya. Pole sana kwa matatizo haya.
 
eucalyptos

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2010
Messages
388
Points
225

eucalyptos

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2010
388 225
I once posted in another thread some months ago.
Dawa ya aina nyingi za fungus ni "APPLE CIDER VINEGAR MIXED IN 1:1 RATIO WITH CLEAN WARM WATER".
Baada tu ya kuosha mahali palipoathirika kwa sabuni na maji (prefably warm water), kausha kwa taulo safi then apply huo mchanganyiko. Kama fungus ni za mkononi au mguuni waweza tumbukiza huo mkono au mguu kwa muda kwenye maji yenye mchanganyo kwa kama dakika tano hivi. For this case kumwagia ndio itakuwa sawa au kama una bath tab u may use it.

Ni kweli dawa nyingi haziwezi kupambana na fungus fulani fulani as they are made purposely for that biz. Kuna info nyingi sna kwenye mtandao zinazoelezea kukwama kwa watu kwa kutumia dawa zilizozoeleka.
 
Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
1,936
Points
1,250

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
1,936 1,250
Ninakama miezi miwili nnatatizo la kuwashwa mbele na nyuma nawashwa sana nikajua ni fungus nimetibu sana lakin sikupona nikafanya vipimo vya cultural sensitivity dokta akanambia maji maji ambayo yanakua uken yamepungua hivyo wale bacteria rafik wameanza kunishambulia nimetumia dawa zimeisha nimekaa kama wik moja tatizo limeanza tena plz nisaidieni wana jf
<br />
<br />
Pole sana @gemmy,inackitisha sana.
1.Mi bado cjaamini kama hlo tatizo limeshindikana hospitalini,jaribu kutembelea hospitali kubwa*2 na ujaribu kuongea na doctor vizuri na mimi naamini utapata dawa.
2.Jaribu kubadilisha au kusitisha v2 kama vipodoz,mafuta ya kupaka alaf usikilizie.
3.Fikiria kuhusu chakula unachokula,haswa mafuta yanayo2mika kupikia,mara nyingine labda hayaendani na damu yako.
4.Pia jaribu kuweka hzo sehemu katka hali ya usafi na ukavu mara zote na fikiria kuhusu vle v2 vle( angels,always nk) labda una allergy na aina flani ya hz.
5.Siamini uchawi,ila naamini upo,mi kuna m2 namfahamu alivimba miguu bla 7bu yeyote,kwenda hospitaln hakuna kitu,kwahiyo jaribu kufikiria njia ulizopitapita katka suala la mapenzi,isije ikawa umepita kwenye njia za watu wengine ndo wakakufanyia hvyo! Just in case you won't get help from the hosptal or from any other place. Naamini unamwamini mungu,fikiria kuhupu hilo pia. Pole sana,usihofu utapona tu.
 
Forum statistics

Threads 1,388,900
Members 527,829
Posts 34,014,047
Top