Napata shida sana na watoa huduma za Airtel

Napata shida sana na watoa huduma za Airtel

TANZANIA ndio nchi pekee ambapo mtaka huduma ambaye ndiye mlipji anapaswa kumnyenyekea mtoa huduma ambaye ni mlipwaji............
 
Siyo kwa upande wa Airtel Money hata ikitokea simu imeibiwa na unahitaji kuifunga hakuna msaada kiukweli customer support ni Zero kabisaaaa
 
Tressa nadhani Airtel are worse.. na inaelekea hawapendi mteja wao awalalamikie, kwa sababu hata unapopiga hiyo 100 , hawakupi maelekezo ya namna ya kuongea na mtoa huduma, kumbe ujanja ni kusubiri waongee wee, kisha watakuunganisha wenyewe bila kubonyeza no yoyote...
Kwa kweli ni wasumbufu sana

Mkuu, i second you...kwa customer care hasa pale mteja anapohitaji kuongea na "mtoa huduma" hili Airtel ni tatizo. Binafsi imesha nikumba mara nyingi, na inachotokea utakatwa Tsh 60, "ili kuongea na mtoa huduma wa VIP" na baada ya hapo kuunganishwa naye baada ya makato. Lakini ni mara chache sana utakuta utampata huyo "mtoa huduma" na ukimpata utakuwa umeshatumia karibu Tsh 300 hadi 480Tshs, kitu ambacho hakiko mitandao mingine.
 
Last edited by a moderator:
Siyo kwa upande wa Airtel Money hata ikitokea simu imeibiwa na unahitaji kuifunga hakuna msaada kiukweli customer support ni Zero kabisaaaa

Mi nimekerwa sana mkuu, na ukipiga zaidi ya mara tatu, wanaanza kukuchaji. Sasa kama watoa huduma wenyewe ndo kama hao, utaweka vocha mara ngapi!
 
Mkuu, i second you...kwa customer care hasa pale mteja anapohitaji kuongea na "mtoa huduma" hili Airtel ni tatizo. Binafsi imesha nikumba mara nyingi, na inachotokea utakatwa Tsh 60, "ili kuongea na mtoa huduma wa VIP" na baada ya
hapo kuunganishwa naye baada ya makato.
Lakini ni mara chache sana utakuta utampata
huyo "mtoa huduma" na ukimpata utakuwa
umeshatumia karibu Tsh 300 hadi 480Tshs, kitu
ambacho hakiko mitandao mingine.
ndiko ninakoelekea huko mkuu, Leo nitaweka vocha ili wanikate nataka fedha yangu irudi..
Kama wanaona kuna shida kwenye mifumo yao, si wasimamishe huduma hadi watakaporekebisha matatizo yaliyopo? kuliko kuwatia watu hasara..
 
wadau kuna yeyote mwenye namba ya airtel customer care tofaut na namba 100....nmetuma pesa namba nyingine kimakosa toka jumamosi napiga hiyo 100 bila mafanikio tena wakiendelea kunikata sh 60
 
Sikukatish tamaa ila hiyo kwa airtel uandike potea hawajaa kwa upande WA airtel money bado kabisa ila kwenye upande WA mawasiliano wanajitahid' Fanya risech ndogo zunguka kwa mawakala 5 uombe kuweka lak2 watakuambia hamna soda jamaa wanasuasua sana
 
wadau kuna yeyote mwenye namba ya airtel customer care tofaut na namba 100....nmetuma pesa namba nyingine kimakosa toka jumamosi napiga hiyo 100 bila mafanikio tena wakiendelea kunikata sh 60

Pamoja na usumbufu wao, ukitembelea wakala mwenye Acces ya Airtel Money (maana siyo wakala wote wanayo), mueleze hilo, naye atapiga namba 500 (ni maalumu kwao) wewe ukiipiga huipati, atakusaidia. Japo ni mlolongo. J'mosi hadi leo, utaipata kweli hiyo pesa?
Ahsante
 
Pia wengi wao wa watoa huduma siyo wataalam kabisa cjui wanatumia vigezo gan kuwajiri hawa watoa huduma.
Wahudumu wengi ni wanafunzi wa vyuo na form four leaver wasio na any profession.. Ni temporary job tu ambayo kampuni inafaidika kwa cheap labour.

Yaani sometime unaweza kujuta hata why ulipuga simu customer care maana wewe unakua kama ndio customer service attendant na wao ndio wateja.
 
kifupi ni shida, ni kero! unachukua muda kumpata, kia umpataye hatekelelezi japo anaahidi, nimerudishiwa hela baada ya siku 5, umeme wa wateja 2, hela imekatwa, token kuletewa nimefatilia mpaka nimekata tamaa!
 
Internet yao inasumbua balaa, sijui ni huku kwetu tu ??
 
Pamoja na usumbufu wao, ukitembelea wakala mwenye Acces ya Airtel Money (maana siyo wakala wote wanayo), mueleze hilo, naye atapiga namba 500 (ni maalumu kwao) wewe ukiipiga huipati, atakusaidia. Japo ni mlolongo. J'mosi hadi leo, utaipata kweli hiyo pesa?
Ahsante

nashukuru kwa mawazo..ntajaribu kumuona wakala niulizie mida hii..kingine walau nmepiga tigo jana na nlipomueleza mtoa huduma wao akaniahid kuwa amiblock hiyo pesa..ila kuirudisha mpka watu wa airtel..ambao kuwapata ni ishu
 
Sikukatish tamaa ila hiyo kwa airtel uandike potea hawajaa kwa upande WA airtel money bado kabisa ila kwenye upande WA mawasiliano wanajitahid' Fanya risech ndogo zunguka kwa mawakala 5 uombe kuweka lak2 watakuambia hamna soda jamaa wanasuasua sana

kwa kweli naanza kuona matumaini yanafifia..ila najaribu njia ya kitang'wa nione kama naweza fanikiwa
 
Internet yao inasumbua balaa, sijui ni huku kwetu tu ??
 
Back
Top Bottom