tumiakichwa
Member
- Jan 26, 2014
- 44
- 10
Siku jamaa yake akikupigia utazisahau tu
Haujatoka leo dah..! au muda bado?????????
kaka salt jamaa mwenyewe ndo mimi ila mtoto bhado sijamseti vizuri ila ananisumbua kusudi tu na mbaya zaid namba yake ndo iyo imekaa kichwan
kaka salt jamaa mwenyewe ndo mimi ila mtoto bhado sijamseti vizuri ila ananisumbua kusudi tu na mbaya zaid namba yake ndo iyo imekaa kichwan
Nisharudi mbona, nilienda disko vumbi, we hutoki?
au unaogopa hela zako zitaisha ha ha ha
Kwanza hii siku ndo naisikia hapa Jf ni mpya kwangu!!!!!!
Ila kwa sababu imenihamasisha basi nitafungua mziki geto tutacheza na wifi yako kupunguza gharama zisizo kuwa na maana!!!!!!
Mbona umewahi kurudi???????
Disko vumbi mwisho sa kumi na mbili
Wapi huko? mbona wanawapunja muda!!!!
Karibu kwangu ujumuike na wifi yako sisi disko mpaka asubuhi...
Ntakuja akisafiri...
Ha!ha!ha!ha asivyo penda kuacha mali yake nyuma hawezi kusafiri huyu!!!!!
Ila kama ikitokea tafadhali pesa ya usafiri wa kukurudisha sina utajigharamia kla kitu!!!
Yani wewe haaaaa!!!
nahisi ukiombwa hela ya mboga unauliza "ile ya mchana imeisha? Imeisha ishaje mbona ilikuwa nyingi"
i can't u
kaka salt jamaa mwenyewe ndo mimi ila mtoto bhado sijamseti vizuri ila ananisumbua kusudi tu na mbaya zaid namba yake ndo iyo imekaa kichwan
Ni mimi huyu huyu ndo unaniita kaka?