Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,323
- 1,713
Habari za Mchana wana JF,
Kama ambavyo Title inajieleza, nina tatizo la kupatwa na maumivu kwenye maungio ya vidole na miguu nyakati za baridi kali. Ninaomba kufahamu hilo ni tatizo gani na pia ni njia gani ninaweza kuitumia ili kupunguza madhara ya tatizo hilo au kulimaliza kabisa.
Natanguliza Shukrani.