Napata msukumo wa kusaidia wajane

Napata msukumo wa kusaidia wajane

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Husika na kichwa cha habari....hii ni kwa imani na matokeo ya tafiti endelevu yanayoendelea...msaada wa kesi ..msaada wa matibabu...msaada wa masuala ya kija mii n.k.

Msaada wa uwazi bila kuonana ana kwa ana,

LETE MAONI
 
Ni jambo jema sana, ubarikiwe msukumo ugeuke kuwa matendo.
 
Usiwe km jamaa mmoja kule FB. Alikuwa anasaidia sana wajane na single moms. Kumbe lengo lake hasa lilikuwa ni kuwatumia kingono!

Toa misaada isomasharti. Vinginevyo utaishia kujichumisha midhambi tu. Never use misfortunes za watu kujinufaisha isipikuwa tu katika biashara halali. Kujifanya unasaidia wajane na single moms kumbe lengo lako ni kuwala ni deviant behavior, ubinafsi na ukatili utakaopatilizwa!
 
Binti wa zamani kwa nini uko macho mpaka muda huu? Huko Bongo sasa ni saa 9 za usiku. Usingizi umegoma au yule jirani mwenye binoculars bado anakuchungulia? 😂
Umenichekesha 😅😂😂 yani jirani kanipa stress sana.

Nina Insomnia, nilipona kwa muda ila miezi michache iliyopita nimevuruga sleeping cycle yangu so napambana tena kuirejesha.

Wewe uko wapi?
 
Usiwe km jamaa mmoja kule FB. Alikuwa anasaidia sana wajane na single moms. Kumbe lengo lake hasa lilikuwa ni kuwatumia kingono!

Toa misaada isomasharti. Vinginevyo utaishia kujichumisha midhambi tu. Never use misfortunes za watu kujinufaisha. Kujifanya unasaidia wajane na single moms kumbe lengo lako ni kuwala ni deviant behavior, ubinafsi na ukatili utakaopatilizwa!
Kuwala ni sehemu ya msaada pia..
 
UKO SAHIHI
Ndio kisa na maana....nikasema si lazima kuonana ana kwa ana.....kuna jamaa ni mtaalamu wa kutengeneza systems (application) karibu ataikamilisha hiyo ndio itatumika...
Anyway ni somo pana kidoogo.
kuna kipengele cha ku upload death certificate...na itakuwa verified na msajili then from there...inaanza kusaidika..
Msaada hautatoka mfukoni mwangu...kuna wadau..nimejifunza shida ya dunia si pesa...bali MAJIBU WA WATU.
 
Umenichekesha 😅😂😂 yani jirani kanipa stress sana.

Nina Insomnia, nilipona kwa muda ila miezi michache iliyopita nimevuruga sleeping cycle yangu so napambana tena kuirejesha.

Wewe uko wapi?
kula samaki usiku..utalala vizuri sana
 
Back
Top Bottom