Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
Hello dears,
Nimekuwa napata maumivu ya mguu nyuma ya goti kwa chini kidogo kwenye mguu wa na hii hali huwa haitokei Mara kwa mara huwa inatokea kwa nadra yan inaweza tokea jumatatu ikaja kujirudia alhamis maumivu yanakuwa yanakuja na kuachia.
Hii husababishwa na nn wapendwa na tiba yake ni ipi??