Napata maumivu ya miguu nyuma kidogo ya goti

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,017
Hello dears,

Nimekuwa napata maumivu ya mguu nyuma ya goti kwa chini kidogo kwenye mguu wa na hii hali huwa haitokei Mara kwa mara huwa inatokea kwa nadra yan inaweza tokea jumatatu ikaja kujirudia alhamis maumivu yanakuwa yanakuja na kuachia.

Hii husababishwa na nn wapendwa na tiba yake ni ipi??
 
Hello dears,nimekuwa napata maumivu ya mguu nyuma ya goti kwa chini kidogo kwenye mguu wa na hii hali huwa haitokei Mara kwa mara huwa inatokea kwa nadra yan inaweza tokea jumatatu ikaja kujirudia alhamis maumivu yanakuwa yanakuja na kuachia..hii husababishwa na nn wapendwa na tiba yake ni ipi??
Hujatueleza wewe ni Mke au mume?una miaka mingapi?una kilo ngapi? Je umesha wahi kutumia dawa za hospitali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom