juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Nilijiapiza sitatumia condom tena, jumapili kuna Mwananmke alikuja geto nikafanya naye mapenzi. Nlifanya naye mapenzi bila Kinga, ila cha ajabu ilipofika jumatatu nikaanza jisikia maumivu kwenye Uume kila nikienda kukojoa naumia sana.
Nikahisi nina gono, nimeenda hospital kupima eti naambiwa mkojo ni mchafu, sasa najiuliza ni nini tatizo? Maana naumia sana kila ninapokojoa.
Kwa kweli nimechanganyikiwa sana.
Nikahisi nina gono, nimeenda hospital kupima eti naambiwa mkojo ni mchafu, sasa najiuliza ni nini tatizo? Maana naumia sana kila ninapokojoa.
Kwa kweli nimechanganyikiwa sana.