Napata maumivu kwenye maungio ya mguu na kiuno

Planeti

Member
Jun 4, 2020
86
93
Habarini ndugu zangu..

Week2 zilizopita nilikuwa Shinyanga. Kule kulikuwa na baridi kali Sana. Naweza sema baridi ya kule ilinikataa kabisa. Maana kila baridi linapokuwa Kali ndio napata maumivu makali ya kiuno. Inafika muda swezi kusimama wima Wala kutembea. Natembea kwa kuinama, hapo ndipo napata unafuu.

Sambamba na maumivu hayo, sehemu ya juu ya maungio ya mguu wa kulia ( Yani sehemu ya tako) nayo ilikuwa na maumivu makali Sana, kadri navyotembea ndivyo maumivu yanazidi, mguu unakuwa km unakufa ganzi. Nashindwa kutembea. Nakaa kwa Dak kadhaa kabla ya kuendelea na safari.

Kabla ya mateso hayo nilikuwa ni mzima wa afya. Nilitoka Dar kwenda Shy kula sikukuu nikiwa n mzima wa afya kabisa. Sielewi Hali hi imesababishwa na nini.

Maumivu ya kiuno yaliwai nitokea miaka ya 2016. Huu ndio mwaka niliosumbuliwa na tatizo la BAWASILI. Nilifata njia salama za kutibu ugonjwa huu km kunywa maji mengi, kuepeka kula chakula kigumu, kuepuka kuibana haja kubwa nk.

Naweza sema toka miaka hiyo hadi Leo tatizo la BAWASILI lilikoma.

Kwa Sasa Niko daresalamu. Naweza sema maumivu yamepungua kiasi fulsni. Ila bado naskia maumivu pindi nikisumbuapo kiuno km kuinama na kufua.

Maumivu ya mguu yanakuja pindi nitembeapo Hali inayopelekea nianze km ' kusunta ' flani hivi.

Wakuu tatizo linaweza kuwa nini.
 
Ulipata dawa?
 
Mkuu pole sana.
Uzito wako ni mkubwa?
Nashauri uende hosp ukafanye kipimo cha X-ray eneo la "femoral/pelvic joint". Bila shaka baada ya hapo utajua nini cha tatizo.
 
Back
Top Bottom