Napata hofu Juu ya hili!

Napata hofu Juu ya hili!

Wabongo bwana mnaacha kukemea uzinzi mnakazana kutoa ushauri mwingine wa sijui mkapime wote, mara majibu hutolewa hapo hapo n.k.

Mkuu ikimbie zinaa wala hutaishi kwa uoga na wasiwasi kama ulionao kwa sasa...

Ukimwi unaua na kondomu ni jezi ya wazinzi.
 
nilianzia hospitali ya mkoa iringa, nikaenda zahanat moja mbeya ipo meta, nikaenda kcmc nililazwa pale, nikarud moro kituo flan kinaitwa st harry, nikaenda hydom kuna hospital ina chuo hapo hapo na sehem zote hizo napewa majibu naambiwa uje baada ya miez3.

Basi kunatofautiana mimi nipo dar na ninajua kituo cha amref na hospitali ya kairuki hawakuandikii majibu wanakwambia tu kwa mdomo kama ni positive au negative ila wanakuandikia kikaratasi cha tarhe ya kurudia kupima basi, sasa cjui hospitali zingine huwa wanafanyaje
 
Huyo mpenzi wako hakupendi na.possibly kuna siri kubwa anakuficha.........kaa naye vizuri umshawishi mkapime nyote kama akikubali basi yupo salama but trust me hatakubal and that means she does not deserve you coz hana ujasiri wa.kukushirikisha yanayomsibu na yawezekana pia anataka kukuua ili asife mwenyewe....
 
duh, mkuu umenitisha sana ila mbona huu utaratibu upo katika baadhi ya hospitali?
 
Wabongo bwana mnaacha kukemea uzinzi mnakazana kuyoa ushauri mwingine wa sijui mkapime wote, mara majibu hutolewa hapo hapo n.k.

Mkuu ikimbie zinaa wala hutaishi kwa uoga na wasiwasi kama ulionao kwa sasa...

Ukimwi unaua na kondomu ni jezi ya wazinzi.

sawa, ushauri wako nimeupata mkuu!!
 
hapana mkuu, hofu sina! Lengo ni kujua kama kweli hospitali hii ina huu utaratibu maana ni mgeni kwangu,.
Mbona hilo Simpo mkubwa!. we si ulipima? Je ulipima hospitali gani? utaratibu wa kutoa majibu unatofautiana hospitali na hospitali...kama umepima maabara za kawaida Mara Nyingi majibu ni Papp hapo tena pengine bila ushauri Nasaha. ukibugi kuna hospitali nesi anaweza kukukimbilia na kukuambia kabla ya kupata majibu rasmi ya dokta na kukuambia " Dah una bahati kweli Jamani, mimemsika Dokta upo postive aisee, mshukuru Mungu"
 
Basi kunatofautiana mimi nipo dar na ninajua kituo cha amref na hospitali ya kairuki hawakuandikii majibu wanakwambia tu kwa mdomo kama ni positive au negative ila wanakuandikia kikaratasi cha tarhe ya kurudia kupima basi, sasa cjui hospitali zingine huwa wanafanyaje

kwan umepima mara ngap tangu uanze kupata vpimo hvyo?
 
jamani na mimi nataka kwenda kupima kama nimeathirika!
Tafadhari mna chochote cha kunishauri?
 
Yuko sawa kabisa,kama unabisha nenda zahanati ya chuo kikuu cha dsm uone kama utapewa majibu yako kwa kupima mara moja,ni mpaka mara tatu ndo unapewa majibu kamili,,watu wengine wanajiandikia tu hapa,point ya msingi ni kwamba watu wengi wa jf ni waongo mpaka basi.
 
ahsante kwa taarifa mkuu!! Kuna baadhi ya watu humu hawatafakari jambo kabla ya kukomenti, wengine wanaiga mawazo ya wengine na ku-generalize mambo!!

Hii ni shida!!
 
Back
Top Bottom