Napata hofu Juu ya hili!

Napata hofu Juu ya hili!

Mkuu amini huna itakua ni tiba tosha ya hofu yako
Cc Pasco

hofu sina mkuu, nilikuwa na mipango awe mke mtarajiwa ila kama alinidanganya itakuwa mtihani wake,.
 
Last edited by a moderator:
Toka lini kupima mtu anaenda mwenyeww?

Ulimuamini vipi?
Alikuamini vipi?

Pole

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mimi nilishapima mkuu, na matokeo nilimpa!!

Soma vizuri nilichoandika mkuu!! Nilitumia kinga.
umepima Mara Ngapi kabla ya kudunguana na mwenzio?. Nawe ulisubiri miezi mitatu3.? na KamaKama ulilenga kutumia kinga kwa kutoaaminiana,kwa nini ulimsurutisha mwenzio akapime kabla ya kugegedana.? Maelezo yako yana uwalakini uwenda mlipigana mbichii ninyi..sie tumewatangulia tunayajua haya...hofu ulivyo nayo tu ni kiashiria tosha kuwa mlipigana kavu.
 
ahsante kwa ushauri mkuu!!

Kosa lako ni dogo tu, la kumtuma yeye akapime peke yake, sasa saivi mnatakiwa muambatne wote ili upate uhakika, na sio kuhisi na kuwa na mashaka, na kila mtu amekushauri hivyo..
 
hapana mkuu, hofu sina! Lengo ni kujua kama kweli hospitali hii ina huu utaratibu maana ni mgeni kwangu,.
 
Kosa lako ni dogo tu, la kumtuma yeye akapime peke yake, sasa saivi mnatakiwa muambatne wote ili upate uhakika, na sio kuhisi na kuwa na mashaka, na kila mtu amekushauri hivyo..

kabisa mkuu! Nashukuru kwa ushauri
 
ha ha ha umenichekesha eti nini? unapewa majibu ukishapima mara 3???Hilo changa la macho…..Ninavyojua mm majibu unapewa papo hapo.Huyo mwenzako naona aliondoka bila kuchukua majibu kwa hofu au anayo majibu na si yakuridhisha na ndio maana anakudanganya!!Point of correction:Mlitakiwa mkapime pamoja kuondoa mzizi wa fitina!🙂

Si kweli mm mara ya kwanza kupima nilienda Amref pia hawakupi majibu mpaka upime mara 3, kwahyo huyo dada inawezekana yuko sahihi kabisa
 
Habari zenu wana-MMU!!

Kwanza natanguliza pole zangu kwa wale wote waliofikwa na maafa ya mafuriko na hata wengine kupoteza maisha!! Nasema poleni sana!

Back to the topic,.

Nimekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa mwaka sasa,. Yeye yupo Dar na mimi nipo nje ya Dar kimasomo, na yeye pia ni mwanafunzi wa chuo!!

Wakati niliporudi likizo nilimwambia huyu mpenzi wangu akapime afya yake kabla hatujashiriki tendo baada ya kuhakikisha mimi sina tatizo,.

Alienda kwenye hospitali moja hapahapa Jijini Dar inaitwa IMTU akaambiwa yupo salama ila arudi baada ya miezi mitatu kupima tena ili kupata uhakika,.

Nilipokutana na huyu mpenzi wangu nikamuuliza majibu vipi?? Akanijibu hawatoi majibu mpaka mtu apime mara 3 ndiyo wanatoa majibu,.

Kwa kuwa nilimuamini huyu mpenzi wangu nilimuelewa tukala tunda la mti wa kati!! Ila baadae nimekuja kujihoji maswali mengi kwamba inawezekana kweli asipewe matokeo ya vipimo vyake? Au alidanganya?? Wakuu nilitumia mpira maana UKIMWI hatari!!

Usiwe na hofu inawezekana kabisa hakupewa majibu kwani hata mm nilipopima mara ya kwanza ckupewa majibu nikaambiwa mpaka nipime mara 3, unapewa tu kikaratasi kinachoandikwa trh ya kurud
 
Usiwe na hofu inawezekana kabisa hakupewa majibu kwani hata mm nilipopima mara ya kwanza ckupewa majibu nikaambiwa mpaka nipime mara 3, unapewa tu kikaratasi kinachoandikwa trh ya kurud

mmmmh! Tangu nianze kupima nmepima zaid ya mara 10 lakn cjawahi kupata majibu kama yako na sijawahi kusikia
 
Usiwe na hofu inawezekana kabisa hakupewa majibu kwani hata mm nilipopima mara ya kwanza ckupewa majibu nikaambiwa mpaka nipime mara 3, unapewa tu kikaratasi kinachoandikwa trh ya kurud

kumbe na wewe umepitia hii mkuu?

Ni kweli aliniambia kapewa tarehe ya kurudi tena kwa vipimo na siyo majibu!!

Nashukuru kwa taarifa mkuu!!
 
kumbe na wewe umepitia hii mkuu?

Ni kweli aliniambia kapewa tarehe ya kurudi tena kwa vipimo na siyo majibu!!

Nashukuru kwa taarifa mkuu!!

Nilipitia mwenzangu la sivyo ndoa isingekuepo, wanachofanya wanakwambia tu kwa mdomo kama positive au negative lakin si kwa maandishi
 
Ulipima hospitali gani?

nilianzia hospitali ya mkoa iringa, nikaenda zahanat moja mbeya ipo meta, nikaenda kcmc nililazwa pale, nikarud moro kituo flan kinaitwa st harry, nikaenda hydom kuna hospital ina chuo hapo hapo na sehem zote hizo napewa majibu naambiwa uje baada ya miez3.
 
Back
Top Bottom