wakuu
jana na leo nilipata namba za udhibitishio ili kuzitumia kufungua account ya whatsapp wakati mimi sikumbuki kama nilishawahi kutuma maombi ya kujiunga na whatsapp. simu yangu ni techo ambayo hata haisapoti internet, sasa najiuliza itakuwa ni makosa ya whatsapp wenyewe au kuna ktu anataka kunifanya niende na dunia ya kisasa maana tangu mtandao huu uje sujawahi utumia hata maramoja
Inawezekana ni mtu wako wa karibu anataka akufanyie u spy wewe ukizipata izo code delete asije akaziona akazitumia
Ili lengo lisitimie inakubidi hiyo sms ya codes usimuoneshe mtu yoyote anaevunga kuwa close na wew,bila shaka najua umeshawaonesha wengi bila kujua anaefanya hivyo anaihitaji hiyo code na nahisi uko whatsapp rasmi so unganisha dots utamjuawakuu.. kama kukosea si angekosea jana tu.. lakini leo mchana pia zimeingia..napata shida sana aiseee kujua lengo lake