Mungu wangu wee!
Kwa kweli watu wa hivi si wa kawaida.
Sidhani kama wakishamaliza kupata chakula huwa wanaweza kupumua kama kawaida lazima wawe wanahemea juu juu
Huyo mlo huo hula wakati wa mapumziko kazini akimaliza anaingia mzigoni tena wana sio kazi ngumu za kuhitaji nguvu