Napata breakfast

Napata breakfast

Duh! Nimekumbuka enzi zangu nilipohitimu masomo yangu ya sekondari!

Aisee nilipata ajira ya muda katika hoteli moja ya kitalii inaitwa Four seasons safari lodge (formerly called Bilila lodge, Kempnsiki) ndani ya mbuga ya serengeti....

Kuna mjamaa mmoja hivi aisee alikuwa hana masihara inapokuja suala la kula! Msosi wake asubuhi unakuta mayai ni >4, slace za mikate ni >8, hapo kaweka chai ya maziwa kando, juice ya machungwa, maji na vingine vitakavyokuwepo!!:becky::becky:

Baada ya hapo anaanza kula mdogo mdogo mpaka sahani ibaki na uzito alioichukulia!! hahahaaa!!

The guy was real!
 
Usiniambie!

Huyo jamaa yako alikuwa mlafi au pengine alikuwa na minyoo bila kujijua, kwa kweli si kawaida
 
Kuna mtu nlihadithiwa anakula kuku mzima wa kuchoma na salad kwenye bakuli kubwa na mikate na nusu lita juice na maji
 
Mungu wangu wee!

Kwa kweli watu wa hivi si wa kawaida.

Sidhani kama wakishamaliza kupata chakula huwa wanaweza kupumua kama kawaida lazima wawe wanahemea juu juu
 
Back
Top Bottom