habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Iko vingunguti kwa mnyamani, kuhusu barabara usitie shaka utaacha guta Ofisi za mtaa kuna usalama Wa kutoshaSh ngapi na iko sehemu gani na vipi kuhusu barabara inapitika maana namiliki guta
Hngerah zako Watanznia wanajipenda jamani. Utafika mbal maana vision yako ni zaidi ya hiyo nyumba. Inshallah!