Mkuu umeongea maneno yangu yote mpaka nikahisi ni Mimi! Tofauti yetu ni kwamba Ugonjwa huu umeniacha Yatima. Umewachukua Baba na Mama!Awamu ya pili nilikumbana na huu ugonjwa, kiukweli ugonjwa huu unatesa sana mgonjwa, ni gharama hata kama una hela, kwa asie na hela hali yake ni ngumu sana. Nilisumbuka sana kipambania afya kipindi kile japo nilikuwa na chukuwa tahadhari sana ila watu wanaonizunguka wanaenda sehemu kama Kariakoo, bar, makanisani na mbaya zaidi wengi hawachukui tahadhari.
Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali sana bila kuoneana huruma maana huu ugonjwa ukiingia kwenye familia ni janga kubwa sana. Kwa ambaye alishapata huu ugonjwa au ambaye kwenye familia yake kumeahapatikana mgonjwa ndio atakuwa anajua jinsi huu ugonjwa unavyotumia gharama kubwa kupambana nao.
Mkuudaahh rangi ya bluu ni kwamba oxgen level ilikuwa chini sana.
huu ugonjwa toka mwaka umeanza umeshaondoka na 4 family members akiwemo mamaangu!!
na hapa sshv naongea mwingine amelazwa na ventilator juu...
acheni maskhara kbs.
Dah pole kaka..mimi nimempoteza ndugu yangu juzi tu hapa kwa UVIKO...Asante
Chukua tahadhari makinika, vaa barakoa ukitoka nje, nawa kwa maji tirirka na sabuni, epuka mikutano na msongamano, fanya mazoezi na toa elimu kila unapopita. UVIKO-3 ni hatari.
Pole, Mungu akutie nguvu.Dah pole kaka..mimi nimempoteza ndugu yangu juzi tu hapa kwa UVIKO...
Magufuli ameharibu akili za watu,,majinga mengi yanapinga uwepo wa Covid19,eti wanamuenzi magufuli, Covid19 ipo, sisi mtaani kwetu tushazika watu karibia wanneHabari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika nchi.
Toka juzi jioni najihisi vibaya, napumua kwa shida, nimebwana kifua, mafua na kikohozi. Uwezo wa kusikia na kuona umepungua sana, nahisi maumivu katika mifupa na maungio ya mwili. Homa na koo kukabwa, kuwashwa, kuhisi damu ya baridi, jaws (tezi) kuwa na maumivu makali na ngozi kuakisi rangi ya bluu na kizunguzungu ni hali ninazopambana nazo.
Namna nahisi afya yangu kwa sasa, niseme nisengelikuwa mtu wa mazoezi parapanda ingekwisha imbwa. Sio kwamba sikuchukua tahadhari lah! Nimekuwa nikizingatia taratibu zote toka mlipuko huu kutokea Wuhan lakini nimekwamishwa na jamii ya watu walionizunguka.
Nimeorodhesha dalili na hali kuweza kusaidia mamlaka na watu kufahamu hali ilivyo. Hali ikiendelea hivi itatuchukua miaka 10 kupambana na COVID-19 ikiwa tumezungukwa na watu wenye mentality za hovyo na wasiojali wala kuchukua tahadhari.
Sergio 🐰
mkuu dawa zipi izo za kikohozi watumiaSijapata confirm maana daktari alinambia ni wimbi la mafua na kunipatia dawa za flu na kikohozi. | Najitibia kwa kufuata kanuni mbalimbali toka vyanzo mbalimbali.
NyQuil, Chest Cough, Tamiflu, Relenza na Amoxicillin. | Asali, Tangawizi, Saumu, Cinnamon, Lemon.mkuu dawa zipi izo za kikohozi watumia
Inategemea na stage uliyoifikia ila kwa kuanzia ni Strong corticosteroids inaweza kuwa ni inj. au tabs high dose, antibiotics, ascorbic acid na anti coagulantsmkuu dawa zipi izo za kikohozi watumia
Je, umepata chanjo?
Upone haraka mkuuu, nashukuru kwa kuorodhesha hizo dalili.Habari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika nchi.
Toka juzi jioni najihisi vibaya, napumua kwa shida, nimebwana kifua, mafua na kikohozi. Uwezo wa kusikia na kuona umepungua sana, nahisi maumivu katika mifupa na maungio ya mwili. Homa na koo kukabwa, kuwashwa, kuhisi damu ya baridi, jaws (tezi) kuwa na maumivu makali na ngozi kuakisi rangi ya bluu na kizunguzungu ni hali ninazopambana nazo.
Namna nahisi afya yangu kwa sasa, niseme nisengelikuwa mtu wa mazoezi parapanda ingekwisha imbwa. Sio kwamba sikuchukua tahadhari lah! Nimekuwa nikizingatia taratibu zote toka mlipuko huu kutokea Wuhan lakini nimekwamishwa na jamii ya watu walionizunguka.
Nimeorodhesha dalili na hali kuweza kusaidia mamlaka na watu kufahamu hali ilivyo. Hali ikiendelea hivi itatuchukua miaka 10 kupambana na COVID-19 ikiwa tumezungukwa na watu wenye mentality za hovyo na wasiojali wala kuchukua tahadhari.
Sergio 🐰
Unfortunately tahadhari ya mtu mmja haina maana kabisaAwamu ya pili nilikumbana na huu ugonjwa, kiukweli ugonjwa huu unatesa sana mgonjwa, ni gharama hata kama una hela, kwa asie na hela hali yake ni ngumu sana. Nilisumbuka sana kipambania afya kipindi kile japo nilikuwa na chukuwa tahadhari sana ila watu wanaonizunguka wanaenda sehemu kama Kariakoo, bar, makanisani na mbaya zaidi wengi hawachukui tahadhari.
Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali sana bila kuoneana huruma maana huu ugonjwa ukiingia kwenye familia ni janga kubwa sana. Kwa ambaye alishapata huu ugonjwa au ambaye kwenye familia yake kumeahapatikana mgonjwa ndio atakuwa anajua jinsi huu ugonjwa unavyotumia gharama kubwa kupambana nao.
Kama upo Dar Nenda SANITAS kwa Dr.Hussein Bhaloo... mwelezee kinagaubaga tatizo lako utapona... Amesaidia wengi sana... Wahi Number Nenda saa 12 na nusu yeye uanza saa 3 ana Wagonjwa wengi sanaUpone haraka mkuuu, nashukuru kwa kuorodhesha hizo dalili.
Hivi karibuni nimekuwa nahisi vichomi kwenye kifua,joto la mwili liko juu,usingizi sipati,kichwa kinauma,mwili wote na mifupa kuuma na sometimes ucku nilitetemeka na uchovu wa hapa na pale japo sikohoi , Hali ambayo sijawahi experience kwa miaka mingi.
Nimelazimika kuingia jukwaa hili nione kama ntapata dalili kama zangu Ili nijue cha kufanya,nimepima vipimo vya kawaida kama typhoid,UTI,malaria na tumbo hakuna kitu.Hapa nawaza niendelee na vipimo au nitafute mkondo mwingine wa matibabu.
Siku nimeenda hospital kuchek afya walipima joto hakukuwa na shida ila Jana mchana hadi naandika sms hii joto liko juu Sana.Hapa Niko stuck nifanye uamzi upi japo tunatakiwa kutokuwa na hofu but lolote linaweza kutokea.Daa hatari sana may God helps me..
Kunamawe zenu mazwazwa nyieSasa we jamaa sijakuelewa,kwa kuumwa huko ndo umesha jipima kwamba una ka Covid-19?
Sioni maelezo ya kupimwa kwako na kutuaminisha kwamba uliugua huo ugonjwa, hivi wa Tanzania mna nini?
Ukimuona daktari tena, mpe somo kuhusu hii dawa inayotumika kusaidia kuepusha kuwa mgonjwa mahututi na uhitaji wa oksijeni au ventilatorUpone haraka mkuuu, nashukuru kwa kuorodhesha hizo dalili.
Hivi karibuni nimekuwa nahisi vichomi kwenye kifua,joto la mwili liko juu,usingizi sipati,kichwa kinauma,mwili wote na mifupa kuuma na sometimes ucku nilitetemeka na uchovu wa hapa na pale japo sikohoi , Hali ambayo sijawahi experience kwa miaka mingi.
Nimelazimika kuingia jukwaa hili nione kama ntapata dalili kama zangu Ili nijue cha kufanya,nimepima vipimo vya kawaida kama typhoid,UTI,malaria na tumbo hakuna kitu.Hapa nawaza niendelee na vipimo au nitafute mkondo mwingine wa matibabu.
Siku nimeenda hospital kuchek afya walipima joto hakukuwa na shida ila Jana mchana hadi naandika sms hii joto liko juu Sana.Hapa Niko stuck nifanye uamzi upi japo tunatakiwa kutokuwa na hofu but lolote linaweza kutokea.Daa hatari sana may God helps me..
Jamani, tusijidai wehu, ugonjwa huu upo na mm binafsi ni muhanga, wiki ya nne Sasa nipo kitandani Na bado cja recover vzr,Sasa we jamaa sijakuelewa,kwa kuumwa huko ndo umesha jipima kwamba una ka Covid-19?
Sioni maelezo ya kupimwa kwako na kutuaminisha kwamba uliugua huo ugonjwa, hivi wa Tanzania mna nini?
MakataJini mahaba??