NAPA SHIDA NI NINI

NAPA SHIDA NI NINI

45YY

Member
Joined
Jun 24, 2025
Posts
24
Reaction score
19
Hii ni dalili ya kupunguza watu wa mikopo ya elimu ya juu na diploma kwa namna fulani hivi,haiwezekani unaleta mfumo watu wako uliowachagua hawajui kama mfumo ni mpya basi toa mafunzo mwaka mzima sio unatoa mafunzo juju halafu zoezi la kuapply mikopo ni miezi tu
 
Kwani kimekupata nini kwanza wewe ni mnufaika wa TASAF? Km sio usijisumbue kuomba mkopo maana nakuhakikishia 100% hutopata

Hio 200,000 yako fanya km mtaji nunua hata matunda tu uuze utaingiza 100 200 sio unahangaika huko patapotea hupewi kitu
 
Back
Top Bottom