Naota sana ndoto nyevu, msaada tafadhari

Naota sana ndoto nyevu, msaada tafadhari

Hujawahi kufunga magoli ya mkono kama ujawahi Anza leo
Then utakuja kunipa mrejesho
 
Habari wakuu

Nimekuwa nikiota sana ndoto nyevu usiku ,Mara ya kwanza nilijua ni hali ya kawaida kwan utotoni ilikuwa inatokea ila sasa ni too much, halipiti week hayo mambo hayajanitokea ..

Naota nipo nampelekea moto mdada ,mpaka nafika mwisho ,nakurupuka nakuta nimejichafua tayari huwa inanikera sanaaa ..

Nafanya mazoezi sana ili nilale nimechoka usingizi fofo ,ila huko huko usingizini najikuta yanatokea ,haipiti wiki haijanitokea hio hali ,huu mwezi Wa nne sina demi kwan tulitofautiana kidogo tukaachana ,nipo nipo ...

Nifanyeje hizo ndoto za ovyo zisitokee ,ninakeleka aisee asubuhi naamka nimejichafua daaaa....

Una miaka mingapi?
Tafuta demu au oa!
Ndoto nyevu muda mwingine uchangiwa na ugwadu wa muda mrefu
 
Back
Top Bottom