Naota sana ndoto nyevu, msaada tafadhari

Naota sana ndoto nyevu, msaada tafadhari

cityzen

Member
Joined
Mar 21, 2021
Posts
52
Reaction score
64
Habari wakuu

Nimekuwa nikiota sana ndoto nyevu usiku ,Mara ya kwanza nilijua ni hali ya kawaida kwan utotoni ilikuwa inatokea ila sasa ni too much, halipiti week hayo mambo hayajanitokea ..

Naota nipo nampelekea moto mdada ,mpaka nafika mwisho ,nakurupuka nakuta nimejichafua tayari huwa inanikera sanaaa ..

Nafanya mazoezi sana ili nilale nimechoka usingizi fofo ,ila huko huko usingizini najikuta yanatokea ,haipiti wiki haijanitokea hio hali ,huu mwezi Wa nne sina demi kwan tulitofautiana kidogo tukaachana ,nipo nipo ...

Nifanyeje hizo ndoto za ovyo zisitokee ,ninakeleka aisee asubuhi naamka nimejichafua daaaa....
 
Ni Hali ya kawaida

Tafuta mpenzi,demu kijana piga show zako hii hali haitotokea?
 
upo sawa dogo
hayo mazoezi ndio tatizo yanaongeza sana nyege
mazoezi + kushiba mzee utajifunga sana magoli
 
SWALI

je huyo demu ni yule yule ambae huwa unampelekea moto
Au
Kila cku anakuja mwingine

Fact

Kama ni yule yule basi tambua umendwa na jin
 
hapo bro ni shetani anatkukumbushia kazi yake! maana kuna uwezekno uliamua kuacha kabisa au kupumzika kujegeja.. 🧐
 
SWALI

je huyo demu ni yule yule ambae huwa unampelekea moto
Au
Kila cku anakuja mwingine

Fact

Kama ni yule yule basi tambua umendwa na jin
Mkuu Huyo dem Wa ndotoni sura haijanikaa vizur ,sijamnote usoni ...
 
Kama kila siku unamuota demu huyo huyo kuna uwezekano. Kuna kiumbe wa roho anakumendea.
 
1. Uja sex mda mrefu...
2. Jini bahari/ mahaba anakufaidi..

Moja kati ya hayo 🤔👆👆
 
Ndio kitu gan mkuu

Ni nifanye nini kuepuka ..
Mkuu, kama hiyo hali inakutokea mara kwa mara uwe na uhakika ni jini Mahabat linakutesa, maana ungekuwa ndio una balehe, tungesema ni mabadiliko ya mwili. Kama ni hivyo, unapaswa kutambua kuwa Jini ni roho na mambo ya rohoni hayatatuliwi kwa kufanya mazoezi sana ya mwili ni kuyaendea rohoni huko huko. Nenda kwenye maombi ukaombewe na wewe mwenyewe kataa hiyo hali! Huo ndio ushauri wangu
 
Hiyo stage wengine tuliiacha middle stone age🚶🚶
 
Hii sio kawaida mkuu ..
Hiyo hali Ni kawaida sababu testosterone homones zikiongezeka mwilini hupelekea kuzalishwa kwa wingi wa mbegu(shahawa) so ili ziweze kutoka ni kupitia hizo wet dreams ndio maana nikakupa njia za kufanya ili uweze kuzuia hizo wet dreams 1.tafuta mpenzi 2.fanya mazoezi 3.epukq baadhi ya vyakula 4.usilale kifudifudi maana uume unapogusa au kujibana kwenye shuka,boksa,godoro hupelekea hiyo hali 5.fanya mazoezi -hili umesema unafanya
 
Eti wanasemaga zikizidi zinaamia nyuma n kweli wakuu??
 
Back
Top Bottom