Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee.Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya.Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke ccm na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa chama cha kitaifa.Nasubiri anguko kuu la ccm.Kuna mwenye mawazo tofauti na yangu?.......
''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
umelala masaa mangapi! maana ndoto zingine zinategemea na muda uliolala ndio ndoto iwe na maana ..otherwise isije ikawa ni ndoto ya kumeguka kwa ndoa yako>>!
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee.Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya.Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke ccm na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa chama cha kitaifa.Nasubiri anguko kuu la ccm.Kuna mwenye mawazo tofauti na yangu?.......
/quote]
Duu hata mimi natamani sana ndoto za mchana maana zinapendeza sana kuliko za usiku
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee.
Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya. Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke CCM na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa chama cha kitaifa.
Nasubiri anguko kuu la CCM. Kuna mwenye mawazo tofauti na yangu?.......