Naonja tu

Naonja tu

Mimi zangu kona ya bwiru na mjini basi huko kwenu sijui Nyakato bata huko hapana ,,mim Cask,crest,diamond,hayo maeneo na mengine maeneo haya basi
Daah pale Diamond nimepamiss sana mara ya kwanza tumetua mwz na mshkaj tukaagiza ugali samaki na njaa njaa zetu. Hao samaki waliletwa wakubwa mpaka tukaanza kuangaliana na mshkaj baadae ndo tukakumbuka kumbe tupo mwanza.. Wale sato ni wakubwa tuliishia kula nusu tu. Next time tukawa tunaagiza ugali mbili samaki moja. Noma sana pale hata kwa yale mambo yetu ya jukwaa letu kule mpaka leo ninayomoja niliyokamataga pale na tunaliendeleza tena pande hizi za chuga japo tulimeet 2 years back sasa usiulize siri ya kuliendeleza maana hukawii kudadisi jinsi unavopendaga.
 
ndo mambo gani hayo ya kutaka kukitosa chama??
 
9f57478fa246021357e5f651ae442581.jpg

ngoja na mm nionje
 
Daah pale Diamond nimepamiss sana mara ya kwanza tumetua mwz na mshkaj tukaagiza ugali samaki na njaa njaa zetu. Hao samaki waliletwa wakubwa mpaka tukaanza kuangaliana na mshkaj baadae ndo tukakumbuka kumbe tupo mwanza.. Wale sato ni wakubwa tuliishia kula nusu tu. Next time tukawa tunaagiza ugali mbili samaki moja. Noma sana pale hata kwa yale mambo yetu ya jukwaa letu kule mpaka leo ninayomoja niliyokamataga pale na tunaliendeleza tena pande hizi za chuga japo tulimeet 2 years back sasa usiulize siri ya kuliendeleza maana hukawii kudadisi jinsi unavopendaga.
Hhheeee ukitaka wakubwa zaidi nenda kingdom pia,,sie tushazoea kila mmoja anakula wake na tunamaliza chezea wanawake wa mkoani,,
Kuna totoz rangi ya mtume pale za kutosha za kila aina
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Hhheeee ukitaka wakubwa zaidi nenda kingdom pia,,sie tushazoea kila mmoja anakula wake na tunamaliza chezea wanawake wa mkoani,,
Kuna totoz rangi ya mtume pale za kutosha za kila aina
Nikija ntaenda kupazindua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom