Naongezeka

Naongezeka

bersalu

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
10
Reaction score
1
wandugu naomba kuongezeka rasmi kwenye forum yenu... wasifu wangu; napenda mijadala yenye kutumia akili, ila nachukia sana michango ya wanaotumia ri-bu-sa-ma
 
Mbona nimeshaongezeka kweli? Bwana 1st born, avatari yako inanitisha ninaweza kulazimika kupungua ili kunusuru maisha yangu.. ha! ha! ha! ha!
 
Back
Top Bottom