Naongeza kachumvi kidogo

Naongeza kachumvi kidogo

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
1416217124135.jpg
 
ukitoka hapo ubwabwa mtamu tena akiwa na pacha wake ndondo aibu naona mimi
 
Yawezekana aliona kikiungulia na mama kaenda bombani. Hilo nalo ni wazo zuri ili aokoe jahazi. Swali la kizushi tu kwa wamama. Mbona hamnaga raha baba na vijana kukaa karibu na chungu cha mboga?? Kwani kutokana na ule moshi wa kuni mbichi, kamasi likikutoka ghafla lika.... kwenye mboga, si mnakorogea humo tuuuuu Acheni maneno mengi kumhusu huyo mtoii. Wapo wakubwa tu wanachujulia kwenye sufuria kusevu maharage yasiungue weye. Tunakulaga vingi tu ni kwa vile hatuoni
 
Back
Top Bottom