Naona watu wanaji isolate

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,834
106,028
Mdogo mdogo wabongo pilika zinapungua
Hata kwenda kwenye Maofisi naona siyo kwa sana

Ova
20200417_101842.jpg
20200417_101824.jpg
20200417_101821.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujilock down wenyewe papa mopao anaweza hata kutupa zawadi kwa kutekeleza wajibu bila shurti.
 
Waswahili walisema, asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu.

Sisi hatukutaka kujifunza kwa waliotutangulia kupata huu ugonjwa, sasa tunafunzwa na kirusi chenyewe.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Huku hata mawasiliano na watu yamepungua 90%
Wamebaki wanaokujali tu wengine wamefutika kabisa
Lockdown imefanya tujuane wapenda story na wanaokujali kwa dhati
Haya yote yanayotukuta huku kwenu bado ni ndoto


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom