Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,324
- 152,136
Kwa mtazamo wangu,nikiangalia sera za Trump kwa kiasi fulani naona ni kama vile zinahalilisha baadhi ya madai ya Osama kuhusu mtazamo wa mataifa ya Ulaya na Marekani juu ya uislamu.
Kwa mfano,Osama na kundi lake waliamini Marekani na mataifa ya Ulaya Magharibi yalikuwa na lengo la kuangamiza uislamu na kwamba mataifa haya yalikuwa against na waisalamu.
Osoma na kundi lake pia walikuwa wanapinga Marekani na Mataifa ya Ulaya(waliyoita makafiri) kuvamia baadhi ya mataifa ya kiarabu kitu ambacho Trump nae anaonekana kukipinga.
Sasa kwa sera hizi za Trump za kupiga marufuku waislamu kutoka mataifa 7 ya kiarabu kuingia Marekani, kukosoa Marekani kujiingiza kijeshi katika katika mataifa ya kiarabu,n.k hatuoni zinaweza kuwafanya baadhi ya watu kuona Osama na kundi lake walikuwa sahihi katika propaganda zao/ kile walichokuwa wanakiamini na kukisimamia katika kutetea uislamu na mataifa ya kiislamu kwa ujumla?