Naona tumegawanyika kidini

Naona tumegawanyika kidini

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
313
Reaction score
533
Guys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao

Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na yeye amejaa kwenye mfumo sasa ameanza kuligawa taifa kidini, ukitaka kuamini hilo pitia comment nyingi zenye majina ya Kiarabu wengi wanampongeza na kumsifu na wengine wameenda mbali wanasema wanampenda na wanavutiwa na speech zake.

Yaani unaona kabisa udini this time around unaenda kushika kasi
Guys hii sio ishara nzuri kwa taifa na nchi kwa ujumla.

Washauri wake wanampoteza vibaya mno
 
sio jambo jepesi ni kakikundi kanajaribu huo mchezo bila mafanikio na zaidi humu mtu mmoja anakuwa na ID zaidi ya tatu mimi binafsi nimezaa watoto na muislamu
 
Kila nikiuleta Uzi kama huu mods wanautokomeza kusikojulikana.

Jana nilisema huyu mama anachochea udini lakini mods waliuoeleka kusikojulikana ule Uzi.
 
H
Hakuna huo mgawanyiko. Wewe na juma pale mtaani hamsalimiani? Hao wahuni wanaokodiwa kutisha watu ndio mgawanyiko?

Kawaulize msikiti upi wanaswalisha?
Hapana tusipuuzie.
Sasa hivi hii dhana ya kukataliwa sababu ya dini na jinsia au mahali alipotoka itaanza kuwaingia wananchi wengi.
Kiongozi kuongea hadharani vile inakuwa rahisi sana kuaminiwa na wengi.
 
Sikuwahi kuwaona Baba na Mama mzazi wakiwa pamoja, Baba alioa Muislamu na akatuchukua toka kijijini kwetu akatuleta mjini, nimelelewa na Mama Muislamu tangu 1996-2004! Badae nilienda kuishi kwa Babu na Bibi wa Mamaangu mlezi (Mungu awape pumziko jema) mpaka 2010, badae nikaenda kuishi kwa Mamaangu Mkubwa (Dada wa mama mlezi) mpaka 2016 nilipoaanza kujitegemea.

Nakiri wazi kuwa awa ndiyo watu wangu wa karibu kuliko wale wa upande wa Mamaangu mzazi, nikiwa na jambo lolote nimekwama basi napiga simu kwa Mamaangu mkubwa na analibeba 100%. Leo nije kuchukia Waslamu sababu ya mabaya Samia? Hilo haliwezekani katika maisha yangu.
 
Guys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao

Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na yeye amejaa kwenye mfumo sasa ameanza kuligawa taifa kidini, ukitaka kuamini hilo pitia comment nyingi zenye majina ya Kiarabu wengi wanampongeza na kumsifu na wengine wameenda mbali wanasema wanampenda na wanavutiwa na speech zake.

Yaani unaona kabisa udini this time around unaenda kushika kasi
Guys hii sio ishara nzuri kwa taifa na nchi kwa ujumla.

Washauri wake wanampoteza vibaya mno
Ndiyo vizuri mbwa nyinyi,mmejaa chuki, yaani ushungi wake pale ikulu unawauma sana,muda mrefu tu mnamuita bi ushungi,mara mzanzibar ila mnajua kinachowakera
 
  • Thanks
Reactions: Tui
H
Hapana tusipuuzie.
Sasa hivi hii dhana ya kukataliwa sababu ya dini na jinsia au mahali alipotoka itaanza kuwaingia wananchi wengi.
Kiongozi kuongea hadharani vile inakuwa rahisi sana kuaminiwa na wengi.
Alivyoongea hadharani ndiyo vizuri, jakaya akiwa rais alishaongelea udini nchini,akamalizia kwa mimi ndiye rais,dk Bilal makamu,akamtaja na rais wa zenji
Pengo akatoka shimoni 'yeye ndo mdini'
 
Guys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao

Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na yeye amejaa kwenye mfumo sasa ameanza kuligawa taifa kidini, ukitaka kuamini hilo pitia comment nyingi zenye majina ya Kiarabu wengi wanampongeza na kumsifu na wengine wameenda mbali wanasema wanampenda na wanavutiwa na speech zake.

Yaani unaona kabisa udini this time around unaenda kushika kasi
Guys hii sio ishara nzuri kwa taifa na nchi kwa ujumla.

Washauri wake wanampoteza vibaya mno
Ndiyo kete pekee iliyobaki. Mfa maji siku zote hutumia silaha yoyote kujiokoa.
 
H
Hapana tusipuuzie.
Sasa hivi hii dhana ya kukataliwa sababu ya dini na jinsia au mahali alipotoka itaanza kuwaingia wananchi wengi.
Kiongozi kuongea hadharani vile inakuwa rahisi sana kuaminiwa na wengi.
Hapana mkuu chuki huanzia kwenye grassroots sio juu kuja chini. Hao wanachoweza labda ni kuwapa tender magaidi yachome makanisa au kuuwa wakristo ila sio jirani yangu abebe panga eti kisa anamtetea Samia ambaye hamjui kabisa.

Hofu yangu ni kuanzishwa makundi ya Kigaidi hapa Tanzania ili kudeal na TEC. Sasa kama TISS au JWTZ wanaona ni sawa tu ili mradi kulinda maslahi ya mtu mmoja basi watimize haja yao.
 
Alivyoongea hadharani ndiyo vizuri, jakaya akiwa rais alishaongelea udini nchini,akamalizia kwa mimi ndiye rais,dk Bilal makamu,akamtaja na rais wa zenji
Pengo akatoka shimoni 'yeye ndo mdini'
Huyo JK hawezi kuwa role model.
Awamu yake alitumia kete ya udini na ilizalisha makundi ya kidini ya kuleta taharuki uhalifu.
Ali Hassan Mwinyi na Nyerere ndiyo wawe role model.
 
Jk alikua na udini gani?!
 
Kumbe hizi spinning za udini yeye ndio anazichochea.
Kimsingi huyo amekulia kwenye uisilamu wenye tafsiri hasi dhidi ya RC. Ameuficha tu baada ya kuwa kiongozi, ila akipata changamoto yoyote hasa ikitokea kwa RC, background yake inasoma kwa haraka. Anajitahidi kuficha ukweli kwenye kichaka cha dini. Anajua mtazamo wa kidini ukiwepo, utaficha ukweli wa kuwa yuko madarakani kwa wizi wa kura, na mauaji.
 
Hapana mkuu chuki huanzia kwenye grassroots sio juu kuja chini. Hao wanachoweza labda ni kuwapa tender magaidi yachome makanisa au kuuwa wakristo ila sio jirani yangu abebe panga eti kisa anamtetea Samia ambaye hamjui kabisa.

Hofu yangu ni kuanzishwa makundi ya Kigaidi hapa Tanzania ili kudeal na TEC. Sasa kama TISS au JWTZ wanaona ni sawa tu ili mradi kulinda maslahi ya mtu mmoja basi watimize haja yao.
Solution ni rahisi tu, TEC wafanye kazi Yao,kuhubiri dini siyo kutwa siasa
Mangungu na hersi wangetoa matamko nane tangu Samia aingie, lazima akilini ungekua na alama ya kuuliza, kiongozi wa mpira na siasa?..ila hujiulizi kiongozi dini na siasa sababu ni kiongozi wako wa kiroho
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom