Naona speed ya kutafuta michepuko imepungua

salim kimosa

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
390
362
habari wanaJF

ahsante Mh Magu sasa naona tumenyooka, zamani tukikutana vijiweni utasikia yaani yule manzi kesho nampeleka beach halafu tukitoka huko nampeleka kwenye Ma cassino , yaani ni full matanuzi mwanzo mwisho. sasa fanya hayo sasa kama hujalala njaa.Na ilikuwa kuwabadilisha hela inaongea.

ahsante Baba tunanyooooka
 
Wenyewe mbona tunatafutwa

mchepuko mlishe kuku na bia bila kusahau nyama choma mbna utakatikiwa viuno mpaka utasahau familia.

lakini michepuo mingine sijui ni vip yaani watamu mpaka unassahau nyumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom