Naona Sebene Limekolea mitaa ya Lumumba

Nimerudia kumsikiliza Lissu na Masilingi kwny mahojiano. Lissu majibu yake yalikuwa yakiambatana na quotations za vifungu vya sheria, while Masilingi alikuwa akijibu tu km makuli wa Kariakoo. Hakuna haja ya kupeleka mabalozi kwenda KUAIBIKA vile!
 
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utatoa picha ni kwa jinsi gani safari ya Lissu imevisaidia vyama vya upinzani.

Natumaini mabingwa wa kuandika kwenye mitandao tutarejea kufanya tathmini kwa uwazi zaidi kuliko mbwembwe, kebehi na kila aina ya lugha inayotumika kuwakilisha mawazo na hisia kali na nyepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi wa chini ya Tume hii au inakuja tume maalum kutuko nje ya nchi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi wa chini ya Tume hii au inakuja tume maalum kutuko nje ya nchi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa ajabu kama ungetoa hoja tofauti na hiyo.

Kwa kuwa tayari upinzani, kama unauwakilisha, umekwisha kata tamaa, ni vyema uwashauri viongozi wake, wanachama na wafuasi kutangaza kutokushiriki chaguzi zinazokuja ili kuokoa hiyo fedha ikatumika kwa shughuli zingine za maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nataka kumjua yule jamaa aliopiga msamba; ana uchungu na nchi kweli?
 
Weweee kuna uchaguzi Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerudia kumsikiliza Lissu na Masilingi kwny mahojiano. Lissu majibu yake yalikuwa yakiambatana na quotations za vifungu vya sheria, while Masilingi alikuwa akijibu tu km makuli wa Kariakoo. Hakuna haja ya kupeleka mabalozi kwenda KUAIBIKA vile!
Vifungu gani by sheria kanukuu??

Kamwambia balozi Masilingi ati asijibu mambo ya nchini Tanzania kisa anaishi marekani na kwa maana hiyo hayajui ya nchini ila yeye ndo anayajua sjui mwanasheria gani huyu!!

Yaani unatumia heresays kutetea hoja halafu mwingine akifanya hivyo noooo!!!!

Huyu mwacheni aropoke tu na hakuna atakacho affect!!! Matokeo yake atajitonesha bure guu lake!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi wa chini ya Tume hii au inakuja tume maalum kutuko nje ya nchi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba wewe sasa mbona huwa mnashiriki???? Si muache CCM iwe inashinda bila mpinzani kwani huwa mnalazimishwa!!!

Mmekalia huyo lissu wenu wenzenu wanapiga kazi mnaamka wenzenu wako mbele!! Siasa za kulalamika utafikiri watoto wa chekechea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tume gani hii yenu ya kipuuzi mnaopika matokeo chooni ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…