naona nchi hii igawanywe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naona nchi hii igawanywe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Red Giant, May 29, 2012.

 1. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,494
  Likes Received: 5,971
  Trophy Points: 280
  kila kukicha tunapiga kelele za udini udini, mara kupokezana urais kwa misingi ya dini na upuuzi mwingine mwingi. naonelea vema iitishwe kura ya maoni tugawane nchi kwa misingi ya kidini mikoa fulani ikubali kuwa ya kikristo na kuunda taifa lao na mingine taifa la kiislamu na marufuku kupractice dini nyingine katika nchi ya wengine. dini zingine watachagua kati ya hizo mbili. samaki mkunje angali mbichi tusijefika point of no return na haya mambo ya udini.
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii dunia tunapita tuuu kila tulifanyalo tuwaze madhara yake kwa kizazi kijacho.
   
 3. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,494
  Likes Received: 5,971
  Trophy Points: 280
  kizazi wayakuja kuchinjana sana, maana haya mambo yanakuwa mabaya kadri siku zinavyoenda.
   
Loading...