Naona mmeanza kupata akili!! Tutaelewana tu!!

Naona mmeanza kupata akili!! Tutaelewana tu!!

Mleta Uzi anamaono ya migawanyiko gawanyiko..Siku nyingine uje na mawazo ya kujumlisha.
 
All in all, tukumbuke na aina ya uongozi tulio nao,uko tayari kufanya lolote, usibugudhiwe,"ntahakikisha upinzani umefutika 2020",chaguz nyingi matokeo ya kiafrica ni fabricated,tuamini vipi ataachia kwenye box la kura?...how r'we going about this?....chaguzi za urais za kiafrica huwa ni unafki na matumiz mabaya ya pesa sababu mshindi anajulikana.
 
Back
Top Bottom