Naona matapeli wanazidi kubadili mbinu, leo nimetumiwa hii

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,373
Ukishikwa na taharuki unaweza kujikuta umeingia mkenge, kuwa makini.
Screenshot_20181121-091356.png
 
Aisee hilo jambo lilitaka kunipandisha bus

Walituma SMS kama hiyo wakidai mdogo wangu yupo hoi hospital

Mama yake akapaniki akanikimbiza mkuku mkuku nimfuate mwanae shuleni
Nikatafuta tiketi sasa wakati najiandaa na safari, nikapata wazo la kuongea na mkuu wa shule

Mkuu akasema Hana taarifa na nikaongea na muhusika akasema hajaumwa hata mafua!

Hawa watu sijui wanapata wapi details za watu!
 
Shida iko hapo, wanajua wazazi wako sensitive sana kwa watoto wao. Na kweli wazazi huwa wanapanic sana.
 
Back
Top Bottom