Naona matapeli wanazidi kubadili mbinu, leo nimetumiwa hii

Aisee hilo jambo lilitaka kunipandisha bus

Walituma SMS kama hiyo wakidai mdogo wangu yupo hoi hospital

Mama yake akapaniki akanikimbiza mkuku mkuku nimfuate mwanae shuleni
Nikatafuta tiketi sasa wakati najiandaa na safari, nikapata wazo la kuongea na mkuu wa shule

Mkuu akasema Hana taarifa na nikaongea na muhusika akasema hajaumwa hata mafua!

Hawa watu sijui wanapata wapi details za watu!
Kupata namba za watu simple sana..kama namba zipo public kwenye social media kuna tools kibao za kuextract..
Kujua kama una mtoto shuleni...wanafanya kubahatisha tu!!
 
Kaka kwenye vitabu vya walinzi.
 
Kupata namba za watu simple sana..kama namba zipo public kwenye social media kuna tools kibao za kuextract..
Kujua kama una mtoto shuleni...wanafanya kubahatisha tu!!

Mama mwenyewe anatumia Nokia tochi, hizo habari za mitandao wala hana

Huyo mtoto nae kachelewa kujanjaruka Hana simu bado
 
Ukishikwa na taharuki unaweza kujikuta umeingia mkenge, kuwa makini.View attachment 941237
Mimi walinitumia ya namna hiyo, nikawaambia ni watoto watatu shule tofauti, nyie ni wa shule ipi ? Mpaka leo miezi mitatu imepita hawajanijibu, nilifanya hivyo nikiwa na uhakika kwamba hakuna shida kwa mtoto maana shule anayosoma mwanangu kuna Shemeji yangu ni mwalimu hapo.
 
Aisee hilo jambo lilitaka kunipandisha bus

Walituma SMS kama hiyo wakidai mdogo wangu yupo hoi hospital

Mama yake akapaniki akanikimbiza mkuku mkuku nimfuate mwanae shuleni
Nikatafuta tiketi sasa wakati najiandaa na safari, nikapata wazo la kuongea na mkuu wa shule

Mkuu akasema Hana taarifa na nikaongea na muhusika akasema hajaumwa hata mafua!

Hawa watu sijui wanapata wapi details za watu!
Pole na Hongera kwa kunusurika kuingizwa hasara.

Ile huwa ni game of chance unakuta same text wanatumiwa Watanzania 500-1000 miongoni mwao wapo kweli wenye watoto dhaifu dhaifu ambao maradhi huwaandama mara kwa mara, pia wapo wazazi wenye panic linapokuja swala la mtoto kuumwa Tena mtoto aliye mbali.

Sasa wakitokea 10/20 wakijichanganya unakuta jamaa hawakosi laki zao kadhaa.
 
Hata mm walinitumia hii
IMG_20181121_120815.jpeg
 
Back
Top Bottom