Naona kifo kinaninukia

Nimecheka sana huu ushauri kiboko. But true!!!
 
Nakubaliana na MKEMIA MKUU wa serikali.
 
Wewe ndio mpumbavu namba moja ulishawahi ona wapi sumu inajaribiwa au kuonjwa? Shame on you
 
Sasa hivi nimemkatisha matumaini, nimemtumia sms ya kwamba tuachane na suala hilo, nimemuamuru apende familia yake na mimi nibaki na ya kwangu. Sasa hajanijibu mpaka sasa na tulikua tunachat vizuri tu.
 
We endelea kujitafutia balaa yaani Nke ya Mutu unaiandikia msg?? Bwana ake akiifuma??? Sidhani kama tigo yako itakuwa salama.
 
we jamaa bhana
 
Acha kulala na mke wa mtu,haijalishi huyo jamaa ni mpole kiasi gani ila siku akigundua atakufanyia kitu ambacho hutaamini.
 
Kufa hutakufa lakini si vibaya ukaulixia bei ya wanja na leso
 
achana na upuuzi wa kuendekeza tamaa za mwili, mwisho wa siku utararuliwa marinda bure!!

usilopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzako.
 
Muoshwa uoshwa kaka
 
Kumbe ndio weye unaenilia vyangu mkuu basi usihofu naja na vijana wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…