Naona kama namtesa . . .

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Wakati fulani anazidiwa wakaati mi nakuwa bado. Anatumia muda mwingi kunihoji ni kwa nini nakuwa hivyo nashindwa kuwa na jibu. Vyakula ninavyotumia ni vya kawaida. Nifanyeje ili niende naye sambamba?
 
Unamaanisha yeye anatangulia kufika na wewe unachelewa?
 
Usijali endeleeni kuwa pamoja atakuja kuzoea,ndivyo ilivyo!
 
Usijali endeleeni kuwa pamoja atakuja kuzoea,ndivyo ilivyo!
Over 10 yrs now, atazoea nini sasa? sio kwamba atakuja ku-returd up to 0???? Wasiwasi wangu ndo huo ndg yangu
 
Ok wewe ni mwanaume au mwanamke?Nakuuliza ili nikuashauri!
 
Ok,kuna watu wameumbwa hivyo hao hawabadiliki,so inatakiwa mjadiliane nani abadilike,pili,inatakiwa uzungumze nae inawezekana ana hisia ya kuchukia tendo hilo kutokana na mtazamo wake mzima kuhusu tendo,pia inawezekana haumwandai jinsi inavyotakiwa na kumfanya asifurie na kumfanya alichukie tendo kitu kinachosababisha uwezo kushuka wa kufanya,kwa ujumla jaribu kufuatilia yeye analionaje tendo ni jambo zuri au ni baya,ukishindwa kupata suluhu watafute watalaam wa mambo hayo,kuna mmoja huwa ana kipindi RFA,jaribu kukifuatilia ujue siku umpigie sim na utaulizia wengine kwa ushauri zaidi,ni mambo ya kawaida hayo usihofu!
 
Eiyer nashukuru kwa ushauri wako.
Ila kumwandaa namwandaa; hata sijabadirika kwa lolote, yeye analolalamika ni kuchoka tu na si kutofurahia tendo.
 
Kuna mambo mengine nimekushauri hapo,kama sio mojawapo ya hayo,kuna wataalam nimekushauri ukawaone!
 
majoka ya kibisa yanazidi kuwa mengi tanzania! Hili ni janga la kitaifa adhari zake nikuongezeka kwa mashuga mami,wanawake kuwa wasaliti wa ndoa zao, ...poleni wanawake 2nako elekea tanzania nzima itakuwa ni majoka ya kibisa tu kasoro mimi hapo ndipo nimiliki hadi basi tena ukizingatia mi ni mngoni hahaaa!
 
Atakuwa hafurahii tendo huyo, wanawake tunavopenda wanaume kama wewe wa kuweza kuhold kwa muda mrefu, au wewe unazidisha saaaana ambayo inakuwa si starehe tena ni taaabu tupu
 
Atakuwa hafurahii tendo huyo, wanawake tunavopenda wanaume kama wewe wa kuweza kuhold kwa muda mrefu, au wewe unazidisha saaaana ambayo inakuwa si starehe tena ni taaabu tupu[/QUOTE

] Sijui kama nazidisha sana au la! Ila ninachokiona ndo hicho nilokiweka hapa ili niweze kushauliwa. Pili kwa uelewa wangu ni kwamba wanawake wanapenda long game ila si wote.
 
Atakuwa hafurahii tendo huyo, wanawake tunavopenda wanaume kama wewe wa kuweza kuhold kwa muda mrefu, au wewe unazidisha saaaana ambayo inakuwa si starehe tena ni taaabu tupu[/QUOTE

] Sijui kama nazidisha sana au la! Ila ninachokiona ndo hicho nilokiweka hapa ili niweze kushauliwa. Pili kwa uelewa wangu ni kwamba wanawake wanapenda long game ila si wote.
Ukiwa na gemu refu lazima ujue kulipamba pia sio unapiga mashuti tu golini, wati mwingine danadana za hapa na pale na chenga zinatakiwa
 
Back
Top Bottom