Naona kama 2021 Millard Ayo atazidiwa sana na SNS

Wanaitwa Simulizi na Sauti, wanafanya vizuri kwenye Mitandao kama YouTube na Instagram
 
Wadau najua sio vizuri kumlinganisha Millard na Hawa jamaa wa Simulizi na Sauti (SNS) kwenye upande wa Habari Mitandaoni, kwa Sababu Millard ni Brand Kubwa na ana Wafanyakazi wengi karibia nchi nzima lakini kama ataendelea kwa speed hii ya mwaka 2020 basi naona nafasi yake mwaka 2021 ikichukuliwa na Simulizi na Sauti.

SNS wanatakiwa kuboresha vitu kidogo tu kumfikia Millard na kusogea mbele zaidi.
Sky ni Mshkaji fulani humble na hardworker.

Kila anachogusa kwenye entertainment scene huwa kibakubalika.

Kitu pekee ambacho bado hajawekeza ni kwenye Daily News kama alivyofanya Millard Ayo.

SNS target yao kuwa bado ni entertainment scene kama interviews, simulizi na makala.
 
Wanafanya vizuri wapi kama
Sisi wenyewe wadau hatuwafahamu. Labda unawapigia debe humu ili tuanze kuwafuatilia. Mimi siingizwi kwenye mitego ya kitoto kama hii.
 
Mkuu soma michango ya wadau utagundua kuna wadau wanawafahamu SNS
 
Wadau najua sio vizuri kumlinganisha Millard na Hawa jamaa wa Simulizi na Sauti (SNS) kwenye upande wa Habari Mitandaoni, kwa Sababu Millard ni Brand Kubwa na ana Wafanyakazi wengi karibia nchi nzima lakini kama ataendelea kwa speed hii ya mwaka 2020 basi naona nafasi yake mwaka 2021 ikichukuliwa na Simulizi na Sauti.

SNS wanatakiwa kuboresha vitu kidogo tu kumfikia Millard na kusogea mbele zaidi.
Siwajui ila wakitaka kumpita Millard Ayo wapost habari bila kubagua
 
Back
Top Bottom