Naona Dalili za CCM kubadili mgombea Chalinze

Naona Dalili za CCM kubadili mgombea Chalinze

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,001
Reaction score
134,195
Siku kadhaa baada ya CCM kupata mgombea ubunge Chalinze,imeonekana kijana huyu amechafuka chapa chapa na kashfa za ufisadi.Kila kukicha zimekuwa zikiporomoshwa kashfa kubwa na ndogo akihusishwa kijana huyu.Watu waliopewa jukumu kumuuza wanahaha jinsi ya kumsafisha. SWALI:Nani wa kumtawadha huyu mgombea
 
Nitafurahi akichaguliwa kuwa mbunge maana atalazimika kuorodhesha mali zake zote, ukweli na umbeya ujulikane!
 
CCM ni madalali wa mali za nchi hii, huyu nae anataka dalali kama baba ake.
 
mwachene ridh apite tu.,,
hakuna successor mwingne.
Tufike mahala tuwe na huruma,, mirad itakufa.
 
Hapo was miaka 4 na 5 mama yao wa ikulu ni yupi? sijamwona mama salma akiwa mjamzito tangu waingie ikulu.
 
Ridhiwani ana makampuni chunya yapora madini ya dhahabu na kuacha mashimo chunya.pia utajiri wake wa kumiliki malori ya kusafirisha mafuta ya dalbit km kweli ni mali yake basi yeye ni beberu.hawafai wanachalize vinginevyo aweke wazi vyanzo vya utajiri wake.hakika riz hatachagulika
 
safi sana ridhwani .unajua kutafuta hela. mwanaume pesa shikamoo kelele tu
 
Hiyo list ni ndogo sana kwa ushahidi uliopo tetetete.........
 
Siku kadhaa baada ya CCM kupata mgombea ubunge Chalinze,imeonekana kijana huyu amechafuka chapa chapa na kashfa za ufisadi.Kila kukicha zimekuwa zikiporomoshwa kashfa kubwa na ndogo akihusishwa kijana huyu.Watu waliopewa jukumu kumuuza wanahaha jinsi ya kumsafisha. SWALI:Nani wa kumtawadha huyu mgombea
Mkuu hebu tupe mifano ya hizo kashifa na ushahidi wake hili nasi tuzi chambue.

Kushindwa kwako kuorodhesha hizo kashifa hata mpja ni ushahidi wa kuanza kutunga uongo na hakika kwa anaye hifahamu Chalinze vizuri atakubaliana nami kuwa huyu kijana atapata ushindi wa kishindo.

Na washauri Chadema wasipeleke mgombea kule watapata aibu.
 
Back
Top Bottom