moyo wenye aman i
Senior Member
- Nov 12, 2019
- 177
- 302
Sijawahi kuwaza kuwa CCM lakini CCM kumeguliwa na nguchiro kama huyo ni ndoto.Ccm wakiacha polepole akaendelea kutamba kwa ujasiri na msimamo alionao basi hakika itameguka kipande kikubwa maana nguvu ya upinzani inamega hapa na wanamuacha polepole anamega kule KAZI IENDELEE...
Wacha aimege tu. Tumelichoka dubwana CCMCcm wakiacha polepole akaendelea kutamba kwa ujasiri na msimamo alionao basi hakika itameguka kipande kikubwa maana nguvu ya upinzani inamega hapa na wanamuacha polepole anamega kule KAZI IENDELEE...
Nape anamwita kirobotoSijawahi kuwaza kuwa CCM lakini CCM kumeguliwa na nguchiro kama huyo ni ndoto.
Kama ma giant kama Lowasa walishindwa ni huyu mtoto anayecheza singeli huko insta?
Usidhani waliokua wanasema hivyo uko nyuma walikosea.hicho chama kina makundi na kinachowafanya usiyaone ni nguvu ya mwenyekiti wao kua na kofia mbili.ata ivyo kwa chama kikongwe kama ccm kuanguka kwake ni mchakato wa muda mrefu kadri miaka inavyoenda.Hayo maneno ya CCM kumeguka nimeanza kuyasikia tangu nikiwa kijana mdogo ila hadi leo haijameguka.[emoji2]
Ccm iliacha kumeguka kipindi Cha Edo haitakuja kumeguka ila tu usaliti na unafiki hautaisha mpka mwisho wa dahari..Ccm wakiacha polepole akaendelea kutamba kwa ujasiri na msimamo alionao basi hakika itameguka kipande kikubwa maana nguvu ya upinzani inamega hapa na wanamuacha polepole anamega kule KAZI IENDELEE...
CCM has been slowly dying tangu Kikwete ashike Madaraka. Napata na Wasiwasi Mama Samia kama atagombea 2025Ccm iliacha kumeguka kipindi Cha Edo haitakuja kumeguka ila tu usaliti na unafiki hautaisha mpka mwisho wa dahari..
Samia hawez kugombea uRais asilan abadani, kuwe na jua au na mvua, ccm Ni dude kubwa ambalo kuliweza unahitaji akili ilee ya USA ya sep/11. Unakunja mkono wa shati, mwingine unauacha, [emoji15][emoji15][emoji15][emoji3][emoji3]CCM has been slowly dying tangu Kikwete ashike Madaraka. Napata na Wasiwasi Mama Samia kama atagombea 2025
maneno ya CCM kumeguka nimeanza kuyasikia tangu nikiwa kijana mdogo ila hadi leo haijameguka.😃