Naona bado mitaa inaongea.

Wawakamate na hao sasa!
 
[emoji16][emoji16]... hivi jirani kweli huu utani umetoka kwa mtumia tecno alaji au leo upo cafe maana maskini mkipata makalio hulia mbata. !!
Hahahahaaa mtakatifu kanipa i phone yake...ndo napeta apa
 
IPhone aitoe wapi yule...jana anatafuta fundi wa kuuezeka makuti kwake pamesombwa na mafuriko jirani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…