Naombwa kufahamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao

1692280544521_1.jpg
 
In maana gani hii...?!😳
MKUU ACHANA NA HUU UOZO WA SUPER GRO
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu wanaoshawishi matumizi ya super gro kama mbadala wa either mbolea za msingi au mbolea za majani (boosters). Wakulima wengi kwa kutokujua wamekuwa wakinunua kemikali hii kwa bei kubwa.Lita 5 wamekuwa wakiuziwa mpaka sh. 180,000/ wakiaminishwa na mawakala wa hii kemikali kwamba itawapa matokeo makubwa sana kwa sababu ni mbolea/kirutubisho Cha asili (organic fertilizer)
OKAY... super gro ni nn?..hebu tuanzie hapa kwanza..
Super gro ni kemikali ya kilimo (japo haijathibitishwa na mamlaka za kilimo nchini..TPRI,TFRA,TPHPA, Wala TBS) inayotengenezwa na kampuni ya GNLD Neo life international. Ndani ya super gro kuna kiambata kinachoitwa Ethoxylated Alkylphenol pamoja na Polysiloxane... viambata hivi vipo kwenye kundi linaloitwa kitaalamu Surfactant au wetter..hakuna kiinilishe chochote Cha msingi (NPK) kilicho ndani ya super gro (kwa mujibu wa mtengenezaji na sio maneno ya mawakala)
So kazi ya surfactant ni nn?
Okay . fikiria kwa mfano unapofua nguo zako..huwa unaweka nn Ili nguo zitakate kiurahisi?...yes huwa unaweka sabuni..sabuni huyafanya maji yapenye vizur na kwa urahisi kwenye nyuzi za nguo kwa kuvunja mshikamano wa asili wa maji (surface tension).. sabuni ni kemikali inayotengenezwa kwa surfactant..nadharia hii ilete kwenye mazao...inachokifanya super gro (surfactant) ni kuyafanya maji yenye viwatilifu au booster kupenya zaidi kwenye majani ya mmea wako hivo kuongeza ufanisi wa viwatilifu au booster kwenye mmea.
Surfactant sio hitaji la msingi la mmea Ili uweze kustawi...ni kisaidizi tu katika management ya mazao..ikipigwa peke yake Haina faida yyte...pia Kuna product nyingi sana kwenye maduka ya pembejeo zilizo katika kundi la surfactant na zinauzwa bei rahisi tu...(mfano. Aquawet 15SL kutoka kampuni ya Osho) nadhani inauzwa tsh 5000 kwa ml 200...so kama unaona Kuna haja ya kutumia surfactant kwenye mazao y'all tumia zilizopitishwa na mamlaka za kilimo
Super gro haijasajiliwa na mamlaka ya mbolea Tanzania TFRA Wala haitambuliki na mamlaka ya afya ya mimea na viwatilifu Tanzania (TPHPA)
 
In maana gani hii...?!😳
Ukigoogle au kusikiliza maneno ya mawakala utapotea....watakuambia imewapa faida wakulima wengi Tanzania and blah blah...wao wenyewe wengi wao hawaelewi wanachokiuza na hawana utaalamu wowote wa kilimo....Yani mtu akishamezeshwa tu faida walizojitungia tayar anageuka kuwa bwana shamba na wakala wa super gro...haelewi kanuni zozote za kilimo...ukiulizwa swali lolote solution atakayokupa ni kupiga super gro..WTF
 
Aisee,nilishaanz kujianfaa kuliwa msimu ujao😠
 
MKUU ACHANA NA HUU UOZO WA SUPER GRO
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu wanaoshawishi matumizi ya super gro kama mbadala wa either mbolea za msingi au mbolea za majani (boosters). Wakulima wengi kwa kutokujua wamekuwa wakinunua kemikali hii kwa bei kubwa.Lita 5 wamekuwa wakiuziwa mpaka sh. 180,000/ wakiaminishwa na mawakala wa hii kemikali kwamba itawapa matokeo makubwa sana kwa sababu ni mbolea/kirutubisho Cha asili (organic fertilizer)
OKAY... super gro ni nn?..hebu tuanzie hapa kwanza..
Super gro ni kemikali ya kilimo (japo haijathibitishwa na mamlaka za kilimo nchini..TPRI,TFRA,TPHPA, Wala TBS) inayotengenezwa na kampuni ya GNLD Neo life international. Ndani ya super gro kuna kiambata kinachoitwa Ethoxylated Alkylphenol pamoja na Polysiloxane... viambata hivi vipo kwenye kundi linaloitwa kitaalamu Surfactant au wetter..hakuna kiinilishe chochote Cha msingi (NPK) kilicho ndani ya super gro (kwa mujibu wa mtengenezaji na sio maneno ya mawakala)
So kazi ya surfactant ni nn?
Okay . fikiria kwa mfano unapofua nguo zako..huwa unaweka nn Ili nguo zitakate kiurahisi?...yes huwa unaweka sabuni..sabuni huyafanya maji yapenye vizur na kwa urahisi kwenye nyuzi za nguo kwa kuvunja mshikamano wa asili wa maji (surface tension).. sabuni ni kemikali inayotengenezwa kwa surfactant..nadharia hii ilete kwenye mazao...inachokifanya super gro (surfactant) ni kuyafanya maji yenye viwatilifu au booster kupenya zaidi kwenye majani ya mmea wako hivo kuongeza ufanisi wa viwatilifu au booster kwenye mmea.
Surfactant sio hitaji la msingi la mmea Ili uweze kustawi...ni kisaidizi tu katika management ya mazao..ikipigwa peke yake Haina faida yyte...pia Kuna product nyingi sana kwenye maduka ya pembejeo zilizo katika kundi la surfactant na zinauzwa bei rahisi tu...(mfano. Aquawet 15SL kutoka kampuni ya Osho) nadhani inauzwa tsh 5000 kwa ml 200...so kama unaona Kuna haja ya kutumia surfactant kwenye mazao y'all tumia zilizopitishwa na mamlaka za kilimo
Super gro haijasajiliwa na mamlaka ya mbolea Tanzania TFRA Wala haitambuliki na mamlaka ya afya ya mimea na viwatilifu Tanzania (TPHPA)
Du..
Nimechoka Kabisa...hivi Kwa Nini WatZ tunaumizana namna hii!
 
In maana gani hii...?!

Du..
Nimechoka Kabisa...hivi Kwa Nini WatZ tunaumizana namna hii!
Ukosefu wa elimu na kutaka Short cut kwenye maisha (kilimo)...inafikia hatua wanaambiwa waipige mpaka kwenye ardhi kwamba itarutubisha ardhi hivyo hamna haja ya kutumia inorganic fertilizers...jamani kilimo ni sayansi na kina kanuni zake...zipo wazi na kama huzijui hebu onana na wataalamu wa kilimo watakuelewesha japo kwa uchache....
 
Angalia hata mfumo wanaotumia kuiuza (networking marketing)....hawataki ipatkane kwenye maduka ya pembejeo Wala maduka ya kawaida...coz wanaotumia false promotion ya super gro..wanawapotosha wakulima kwa kigezo Cha kupata matokeo...but kiuhalisia bidhaa yao haipo hivyo....
 
Ukosefu wa elimu na kutaka Short cut kwenye maisha (kilimo)...inafikia hatua wanaambiwa waipige mpaka kwenye ardhi kwamba itarutubisha ardhi hivyo hamna haja ya kutumia inorganic fertilizers...jamani kilimo ni sayansi na kina kanuni zake...zipo wazi na kama huzijui hebu onana na wataalamu wa kilimo watakuelewesha japo kwa uchache....
Kwa tusio Wataalam ni ngumu sana kuju kuwa huu ni utapeli,ilhali.matangazo yake yamejaa mitandaoni..
Mamlaka husika zinakuwa wapi!?
 
Mamlaka husika zilishapiga marufuku (mamlaka ya mbolea na mamlaka ya afya ya mimea)...wote walishazuia matumizi ya hii kitu...
Mwenye kampuni kaisajiri kama home care product (ukisoma hata madumu yameandikwa hivo) na sio agricultural product....lakini hao mawakala (either kwa kuambiwa na kampuni au kujiongeza wenyewe) wanaitangaza na kuiuza kama agricultural product Tena kwa bei kubwa sana....so nahisi mamlaka inakuwa ngumu kumbana mwenye kampuni kwa sababu hiyo
 
,Nashukuru kwa elimu na tahadhari.
ili ni mojawapo ya matangazo yao:

"WAKULIMA MAMBO ni SUPER GRO

Super Gro ikichanganywa na maji huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu ambapo huwa kuna madini na virutubisho vingi.; Vilainisho vya maji huongeza na kuboresha utendaji kazi wa madawa na mbolea za kilimo na hutumika kama:
Kuyeyusha hali ya mafutamafuta hasa kwenye majani ya mimea
Kulainisha maji na kuondoa mzio (surface tension)
Kutawanyisha maji kwa urahisi.
Ni kama gundi kuwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu badala ya wadudu kuruka pembeni kama hutatumia Super Gro na hivyo kupunguza kurudiarudia kupuliza dawa, kutumia dawa kidogo kwa msimu, muda kidogo pesa kidogo na kuongeza mavuno.
Kuondoa nguvu ya kushikana kwa dawa na kuifanya ichanganyikane na maji vizuri itawanyike vizuri kwenye Majani na ikae kwenye maji kwa muda mrefu bila kujitenga.
Kuwezesha maji kupenya mpaka tabaka la tatu la udongo ambalo huwa gumu mizizi hushindwa kufyonza virutubisho na kuishi juu, Super Gro hulainisha tabaka la tatu na kufanya mimea kufikia sehemu yenye virutubisho vingi na kukua vizuri.
Kuongeza uwezo wa udongo kutunza unyevu.

FAIDA ZAIDI SUPER GRO
Haina sumu yoyote ni salama kwa binadamu na wala haiathiri mazingira.
Haibadili wala kuharibu udongo.
Kupunguza matumizi makubwa ya mbolea na madawa.

NAMNA YA KUTUMIA SUPER GRO
CC Moja ya Super Gro changanya na lita Moja ya maji.
Au CC Tano za Super Gro changanya na lita Tano za maji.
Au CC Mia za Super Gro changanya na lita Mia za maji.

*SUPER"
 
,Nashukuru kwa elimu na tahadhari.
ili ni mojawapo ya matangazo yao:

"WAKULIMA MAMBO ni SUPER GRO

Super Gro
ikichanganywa na maji huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu ambapo huwa kuna madini na virutubisho vingi.; Vilainisho vya maji huongeza na kuboresha utendaji kazi wa madawa na mbolea za kilimo na hutumika kama:
Kuyeyusha hali ya mafutamafuta hasa kwenye majani ya mimea
Kulainisha maji na kuondoa mzio (surface tension)
Kutawanyisha maji kwa urahisi.
Ni kama gundi kuwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu badala ya wadudu kuruka pembeni kama hutatumia Super Gro na hivyo kupunguza kurudiarudia kupuliza dawa, kutumia dawa kidogo kwa msimu, muda kidogo pesa kidogo na kuongeza mavuno.
Kuondoa nguvu ya kushikana kwa dawa na kuifanya ichanganyikane na maji vizuri itawanyike vizuri kwenye Majani na ikae kwenye maji kwa muda mrefu bila kujitenga.
Kuwezesha maji kupenya mpaka tabaka la tatu la udongo ambalo huwa gumu mizizi hushindwa kufyonza virutubisho na kuishi juu, Super Gro hulainisha tabaka la tatu na kufanya mimea kufikia sehemu yenye virutubisho vingi na kukua vizuri.
Kuongeza uwezo wa udongo kutunza unyevu.

FAIDA ZAIDI SUPER GRO
Haina sumu yoyote ni salama kwa binadamu na wala haiathiri mazingira.
Haibadili wala kuharibu udongo.
Kupunguza matumizi makubwa ya mbolea na madawa.

NAMNA YA KUTUMIA SUPER GRO
CC Moja ya Super Gro changanya na lita Moja ya maji.
Au CC Tano za Super Gro changanya na lita Tano za maji.
Au CC Mia za Super Gro changanya na lita Mia za maji.

*SUPER"
Hili
Ili
 
MKUU ACHANA NA HUU UOZO WA SUPER GRO
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu wanaoshawishi matumizi ya super gro kama mbadala wa either mbolea za msingi au mbolea za majani (boosters). Wakulima wengi kwa kutokujua wamekuwa wakinunua kemikali hii kwa bei kubwa.Lita 5 wamekuwa wakiuziwa mpaka sh. 180,000/ wakiaminishwa na mawakala wa hii kemikali kwamba itawapa matokeo makubwa sana kwa sababu ni mbolea/kirutubisho Cha asili (organic fertilizer)
OKAY... super gro ni nn?..hebu tuanzie hapa kwanza..
Super gro ni kemikali ya kilimo (japo haijathibitishwa na mamlaka za kilimo nchini..TPRI,TFRA,TPHPA, Wala TBS) inayotengenezwa na kampuni ya GNLD Neo life international. Ndani ya super gro kuna kiambata kinachoitwa Ethoxylated Alkylphenol pamoja na Polysiloxane... viambata hivi vipo kwenye kundi linaloitwa kitaalamu Surfactant au wetter..hakuna kiinilishe chochote Cha msingi (NPK) kilicho ndani ya super gro (kwa mujibu wa mtengenezaji na sio maneno ya mawakala)
So kazi ya surfactant ni nn?
Okay . fikiria kwa mfano unapofua nguo zako..huwa unaweka nn Ili nguo zitakate kiurahisi?...yes huwa unaweka sabuni..sabuni huyafanya maji yapenye vizur na kwa urahisi kwenye nyuzi za nguo kwa kuvunja mshikamano wa asili wa maji (surface tension).. sabuni ni kemikali inayotengenezwa kwa surfactant..nadharia hii ilete kwenye mazao...inachokifanya super gro (surfactant) ni kuyafanya maji yenye viwatilifu au booster kupenya zaidi kwenye majani ya mmea wako hivo kuongeza ufanisi wa viwatilifu au booster kwenye mmea.
Surfactant sio hitaji la msingi la mmea Ili uweze kustawi...ni kisaidizi tu katika management ya mazao..ikipigwa peke yake Haina faida yyte...pia Kuna product nyingi sana kwenye maduka ya pembejeo zilizo katika kundi la surfactant na zinauzwa bei rahisi tu...(mfano. Aquawet 15SL kutoka kampuni ya Osho) nadhani inauzwa tsh 5000 kwa ml 200...so kama unaona Kuna haja ya kutumia surfactant kwenye mazao y'all tumia zilizopitishwa na mamlaka za kilimo
Super gro haijasajiliwa na mamlaka ya mbolea Tanzania TFRA Wala haitambuliki na mamlaka ya afya ya mimea na viwatilifu Tanzania (TPHPA)
Shukrani kwa elimu....nlikua nmeingia huku kutafuta ushuhuda wa super gro ili nikanunue 😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom